waliamua kumpeleka muhimbili.basi wakaingia ndani ya gari na safari ikaendelea.
Moyon nilikosa raha ninavyowatazama wazazi wa pendo ndani ya gari japo tulikaa siti tofauti.
Hofu yangu ni kwamba pendo akizinduka asiwaambie kilichomkuta awe vile.gari likapiga mwendo na hatimaye saa 2 tulikuwa msamvu kwa hiyo watu wa moro tukashuka tukawaacha wanaolekea dsm.
Nikapokelewa na shangazi na kupanda daladala kuelekea chamwino na haikuchukuwa muda tukafika.
Shangaz alileta chai nikanywa.kisha tukawa tunapiga stori za nyumban.
Nikamuomba shangazi kuwa nikatembee.basi akaniruhusu.nikarudi majira kama ya saa 11 jion.
Zilipita kama wik 2 nikiwa matembez nikakutana na mtoto mmoja matata sana kwa jina anaitwa zai.ambaye alikuwa anakaa karibu na kwa shangaz nikamsalimia alafu nikasepa.
Nikampigia simu jizo ili anijuze habar za home.akanambia "mwanangu ulkuwa unataka umtoe kizazi mtoto wa watu maana juzi nilimuona nje kwao anafanya mazoezi alikuwa anatembea kama kabemendwa" nilcheka sana alivyosema