Tulimfikisha pendo hosptal dokta akampatia drip 12 za maji.
kisha nikamwambia jizo akawataarifu wazaz wake kuwa mtoto wao kuwa yupo hospitali.
nikamwelesha jizo kwa msala huu ngoja kesho nisepe zangu moro akakubali na kuelekea kwa wazaz wa pendo nao bila hiyana walienda hospitali.
Nikarudi zangu home nikapanga nguo kwenye begi nikamuamsha bi mkubwa kuwa kesho usiponiona naenda moro kula likizo kwa hyo tutaonana januari shule itakapofunguliwa.
bila mbwembe zozote bi mkubwa akaniruhusu
nikarudi zangu geto kwangu siku hiyo sikupata hata lepe la usingizi.
nikachukua simu nikampigia jizo kuwa utanijulisha kuwa uyo boya wa hospital anaendeleaje.
kesho yake asubuh sana kabla hata majogoo hawajaamka. maana siku hyo niliwaamsha wao.
Nikafika stendi nikapewa tiketi yangu nikawa sasa nasubiri gari tu lianze safari.
Nakuja kutahamaki gari liliposimama maeneo ya hosptali huku wakiwa wamemshikiliwa mgonjwa.kuangaza vizuri nikawaona wazazi wa pendo.kumbe hosptal yetu ilishindwa na kuamua..