PENZI LA MPANGAJI-23
Basi tukapiga stori nying za home na jizo kwenye simu na kunipa ukwaju kuwa siku hiz mpangaji wangu kawa kicheche mbaya.
Nikamwambia yaan nikirud huko atahusika na notes haiwezekan aingize mwanaume katika chumba chake kwani wakiwa kwenye 6 kwa 6 saut zao za maraha zitakuwa zinanipa presha bure.
Bas jizo akakata simu.
siku ya 2 shangaz aliamua kuniweka dukani kwake ili niwe nauza mpaka kipnd cha likizo inapoisha.
Ilinichukua siku kama 4 niliweza kuhimili mishe za dukani.
mara nyingi mida ya usiku ndo kuna wateja wengi sana.
Siku moja majira kama ya saa 8mchana alikuja mtoto mzuri zai kuja kununua vipodoz vya sh 42,000 na akanipa sh 39,000 na pesa ilibaki aliniambia nikachukuwe wakati nikirudi home baada ya kufunga duka.
Mida ya saa 4 usku nikafunga duka.na moja kwa moja nilielekea kwa zai kuchukua pesa yangu maana naogopa kuingiza hasara kwa sababu ya kupenda kuendekeza kuzama chumvini.
Kwakuwa chumba cha zai nakijua bas nikagonga hod na bila mtima nyongo alkuja kufungua mlango..