TAFUTA HAPA

Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #7

Saa nne na nusu ilipofika,nilishituka na kuanza kupiga vikelele vya kizushi ambavyo vilimfikia yule Nesi na mara moja alikuja napolala na kuanza kuniuliza kuna nini. Nilimjibu kuwa tumbo linanyonga huku nikigala gala pale kitandani kitu ambacho kilimfanya yule Nesi awe kama ananipindua pindua ili nisilalie tumbo.
Huo ndio hasa wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu,kwani wakati ananipindua ili niangalie juu na siyo kulalia tumbo, mimi niligeuka kwa haraka na kwa nguvu kidogo kitu kilichomfanya yule nesi mikono yake kutereza na kujikuta akiangukia kifuani kwangu huku mguu wake mmoja ukiwa chini na mwingine akiwa kaupandisha kitandani.
Nilibaki kidogo nimeganda, wakati huo nilimuona na yeye akihisi kitu fulani baada ya kuangukia kifuani kwangu.Kitendo bila kupoteza muda,nilichomoa mkono wangu na kushika kalio lake moja la ule mguu ulio chini na kufanya kama naupandisha juu ya kitanda.
Kama na yeye alikuwa na mimi, wala hakuwa na hiyana, akapanda mwili mzima na kunilalia juu yangu,kisha akakutanisha kinywa chake kwa kukileta kwenye kinywa changu na kilichoendelea hapo ni ndimi zetu kupigana kama mapanga ya kwenye filamu.
Baada ya dakika kama mbili ya vinywa vyetu kupambana,alininong’oneza kwa sauti yake murua kuwa nisubiri kwanza. Akashuka toka kifuani kwangu na kukishusha chini kigauni chake nilichokipandisha wakati natafuta raha ya mikono yangu kwenye mapaja yake na makalioni.
Alitoka nje mara moja,naona alienda kuhakikisha usalama wa ofisi aliyopewa.Baada ya dakika tatu,aliingia mle wodini na safari hii aliingia huku anafungua vifungo vya gauni lake lile vilivyoenda hadi chini. Baada ya kuvifungua vifungo vyote, alinifuata huku lile gauni sasa likionekana kama koti likiacha kifua chake chenye matiti madogo yalishikwa na sidiria kuonekana vyema katika upeo wa macho yangu.