TAFUTA HAPA
SMS MPA ZA KUMTOA DEMU NA AKAKUPENDA MILELE
Tukiwa tupo mwezi wa 9 robo 3 ya mwaka 2013 nachukua fursa hii kukushukuru sana kwa kutumia muda wako mwingi na fedha zako ili kuwasiliana nami. Kila niliposoma sms zako zenye nasaha,mzaha,kuelimisha n.k. niligundua mambo makubwa matano
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUNITHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sn kwangu,sikuhisi UPWEKE wa kukosa rafiki katika huu uso wa DUNIA,nakuomba unisamehe nilipokosea na ninakuombea Kwa MUNGU akupe MAFANIKIO MEMA KTK MAISHA YAKO.
......................
WEWE NI MFANO WA TUNDA GANI KATI YA HAYA?
1.EMBE-Furaha ya ndoa.
2.CHUNGWA-Mpweke lakin unatafuta.
3.LIMAU-Unampenda mtu lakin unaogopa kumwambia.
4.SHOKISHOKI-Upo ktk mahusiano ama ndoa lakin unaye mwengine ambaye unampenda.
5.PEASI-Bado unampenda mtu wako wa zaman.
6.PARACHICHI-Upo ktk mahusiano na m2 asiyekufaa na hujui ni kwann unaendelea naye. 7.ZABIBU-Mpweke lakin ni mwenye furaha
8.NANASI-Huna habari na mapenz 9.TANGO-Upo ktk mahusiano lakin hujui kitakachotokea baadae.
10.PERA-Unampenda m2 ambaye naye anampenda m2 mwengine
11.PENSHENI-Umechanganyikiwa...*Nijibu tafadhari ila Kuwa mkweli*
.......................
"MAISHA" ni ugomvi unapoyatafuta tayari umeingia bifu na walimwengu
"nakutakia cku njema"
.................................
Salamu ni moyo ktk "IMANI". Salamu ni uhai ktk "UPENDO". Salamu ni ufunguo wa "RIZIKI" salamu ni chakula cha "NAFSI" salamu ni "MSAMAHA" wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi" salamu huondosha "UADUI" Hakika salamu ni"UTAKASO" wa "NAFSI". Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA MWEMA!*****