TAFUTA HAPA

WAJANJA WATAZISOMA SMS HIZIIII



STORY NZURI
YA UPENDO

Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!!
Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
.......................
Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
..........................
Kwenye ubongo nimekusevu "I LOVE YOU," na moyoni nimeandika "ONLY YOU," na kila nimuonae nasema "NO ONE LIKE YOU," wala cogopi kusem I'm "CRAZY" for you,every "SECOND" I think about "YOU" so napenda uamini "ME" for "YOU," nice tym"MY DEAR" MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
........................
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU
1/ RADHI ZAKE,
2/ HAIBA KWA WATU
3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA,
..........................
Nakupenda sana .Tafadhali nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli 'QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
..........................
"%%%,,"Nina",,%%%,,"busu"%%%,,"tam"%%%,,"kwa"%%%,," ajili"%%%,,"yako"%%%,,"haya"%%%,,"% %%",,"fumba"%%%,,"macho"%%%",,"bac"%%%,,"nikubusu"%%" 1__2__3aah" umevunja"%%%,,",,"masharti"%%%,,",,"bado"%%%,,",,",,","unasoma"%%%,,",, "sms"%%%,,"%%%,," nimeairisha"%%%,,"siku"%%%,,"busu",,"tena"%%%,,"%%%,,"labda"%%%,,"%%%,,"kesho"%%%,,"I "LOVE,,",,"YOU" %%%%FIGGA%%%
........................
Nimepanda gari la "KUKUPENDA" Nimefika kituo cha "KUKUWEKA" (moyoni) Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali "NAWE", Nimelazwa hospital ya "KUKUMISS" (100%) Nimeandikiwa sindano za "KUKUWAZA" / kila saa,,, Nimetundikiwa dripu ya "UAMINIFU" na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda "MWINGINE" zaidi yako!
.........................
Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
........................
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.