TAFUTA HAPA

STORY: SHEMEJI MONICA SEHEMU YA TATU

?sikia shem, kilichotokea leo ni makosa mkubwa sana na tunapaswa kuyajutia,sio kuyarudia kwa makusudi? Alisema James kwa msisitizo wa hali ya juu, kichwani alikuwa akijiuliza kaka yake alikuwa wapi wakati shemeji yake huyu anafanya mambo ya hatari namna ile. James akajaibu kufunga mlango lakini Monica akawahi kuuzuia, ?kweli unaniacha nikalale na ukame? Kuwa na huruma bwana? alisema Monica kwa sauti ya kudeka lakini James akajitahidi kuishinda nafsi, maana tayari mnara wake ulishaanza kutoa huduma lakini uoga ulizizidi hisia za matamanio. ?nenda kajipoze kwa mumeo aisee, ondoka usije ukaniletea matatizo? alisema James. ?Paul amelala na amelewa, hawezi kuamka sahivi, mbona unanifanyia hivyo lakini? alihoji Monica lakini James akajibu kwa kuufunga mlango kwa kustukiza, akafunga kabisa kwa funguo na kurudi kitandani, Monica akabaki kaduwaa pale mlangoni, hakuamini kama anaweza kukataliwa na mwanaume rijali kwa ujio aliomwendea nao James, akaamua kukubali matokeo na kurudi chumbani kwake ambapo alimkuta mumewe amelala akikoroma vibaya, akamuangalia kwa hasira sana kisha akaelekea bafuni ambapo hakwenda kuoga tu bali pia kutuliza mzuka wake kwa njia za asili ambazo alikuwa akizitumia mara nyingi ashki inapomzidia, kwani mumewe alimpa haki yake siku ambayo yeye alikuwa na uhitaji, na mara zote zoezi liliisha pale ambapo mume anakuwa karidhika, hakuwa akijua kama kitendo kile kina ushiriki wa watu wawili na kila mmoja wao anatakiwa kufurahia kinachofanyika.


Asubuhi James alichelewa sana kuamka, hii ilitokana na kuchelewa kulala ambako kulitokana na mawazo mengi juu ya kitendo ambacho alikifanya na shemeji yake. ?sasa nadhani umeshakuwa mwenyeji, leo utaenda pekeyako pale kituoni, mimi nitakupitia jioni? Paul alikuwa akitoa maelezo wakati akimuaga mdogo wake ambaye alionekana bado ana usingizi. Baada ya kuagana na Paul, James akaelekea bafuni ambapo alioga haraka akajiandaa kwa kutoka, ?natoka kidogo shem? aliaga James baada ya kukutana uso kwa uso na shemeji yake ambaye alikuwa ndio sababu ya kuondoka kwake mapema yote ile, alikuwa anakimbia vitimbwi vyake ambavyo alijua fika kama angebaki asingeweza kuviepuka. ?mbona mapema hivyo? Paul si amesema wewe unaenda kzini mchana?? alihoji Monica ambaye macho yake yalionesha kutojutia hata kidogo jambo walilofanya. ?natakiwa kwenda mjini kununua baadhi ya vitendea kazi ambavyo sina, pia natakiwa kupata sehemu tulivu niandae somo la leo? alijribu kujitetea James ambaye alikuwa hata hawezi kumtazama shemeji yake kutokana na aibu aliyokuwanayo juu yake. ?we sema hutaki kukaa na mimi tu, hapo mjini pana umbali gani mpaka upaendee asubuhi yote hii? Ndo kwanza saa tatu, ngojea kweny saa 6 nitakupeleka? alishauri Monica lakini James akashikilia msimamo wake na kuondoka.


Akiwa amekaa kwenye bustani fulani nzuri ndani ya jiji akipunga upepo huku macho yake yakifaidi urembo wa wadada mbalimbali ambao walikuwa wakija na kutoka katiaka bustani zile, James alikuwa akingojea muda usogee aelekee kwenye kibarua chake kile ambacho kilikuwa bado kipya kabisa, nidhamu ya kazi bado ilikuwa ipo kwenye kiwango cha juu kabisa, hakutaka kuchelewa. Mara simu yake ikaita, akaitoa na kuangalia mpigaji, akakuta ni Sir Mdharuba, akaipokea na kuanza kuzungumza naye, Sir Mdharuba akamueleza juu ya mwanamke ambaye alikuwa amekwenda pale kituoni kuona kama anaweza kupata mwalimu ambaye anaweza akawa namfundishia binti yake nyumbani, hivyo Sir Mdharuba alitaka kujua kama James angeweza kuifanya kazi ile ili ajiongezee kipato, James akajibu kuwa angeweza kuifanya ile kazi na Sir Mdharuba akamtaka kuchukua usafiri na kufika kituoni haraka sana ili akapatane na mama wa binti ambaya alipaswa kuwa mwanafunzi wake.

James akafika ofisini na kukutana na mama akiwa na binti yake, binti huyo alikuwa na mrembo sana, James hakutamani kuyaweka macho yake mbali na binti yule baada ya kumuangalia. ?huyu ni mwanangu, anaitwa Julieth, anasoma St. Chritine girls form 5, so tuliuwa tunatafuta mwalimu awe anakuja kumfundishia nyumbani? alielezea mama yake binti yule mrembo. ?unasoma Kombi gani dada?? James akauliza kwa sauti ya upole ambayo ilikuwa na nia ya kumshawishi mama yule kuwa yeye ni kijana mstaarabu. ?PCM? alijibu Julieth ambaye sauti yake ilifanana sana na muonekano wake, sauti kama hizi huwa zinatosha kumfanya msichana kuwa mrembo, sasa Julieth kwake ilikuwa ziada tu, alikuwa ameumbika hasa. ?Okay so ulikuwa unataka kusoma masomo yote matatu au?? aliuliza James. ?hapana, nataka kusoma PURE tu, am not good in it at all? alisema Julieth akimaanisha anataka kusoma somo la hesabu,somo ambalo mara nyingi huwa ugonjwa kwa wadada hasa wadada warembo. ?okay, tutasoma ila nataka ufute kwanza wazo la kwamba Maths ni ngumu, hukupata tu waalimu wazuri, sasa umepata mwalimu na tatizo limeisha? alisema James kwa utani na wote wakacheka. Baada ya kubadilishana namba za simu James akawatoa wageni wake mpaka ambapo ilikuwa imepaki gari yao. ?unaweza kuondoka tu na gari, mimi dereva wa ofisini atanichukua pale kwenye mgahawa? alisema mama Julieth kumwambia mwanae, ?lakini please go home, usipitie pengine popote? aliongezea akimkabidhi mwanae funguo, akaondoa gari ile huku akiwaacha James na mama yake kila mtu akichukua njia yake.

James alijikuta amempenda sana binti yule lakini alijiona kama hakuwa na nafasi mbele yake maana alionekana waziwazi kuwa mtoto wa ushuani, hawa huwa wanaenda na waishua wenzao, sio mtoka kijijini kama mimi, aliwaza James ambaye alikwenda ofisini kupiga story na Sir Mdharuba akingojea muda wa kipindi chake ufike, ?haya sasa nimekupa pasi safi kabisa, akushinde mwenyewe mtoto mzuri yule? alitania Sir Mdharuba ambaye alionekana kuwa mtu wa totoz sana, James akacheka tu na kubadili mada.


Baada ya kumaliza kipindi James akatoka na kumpigia Julieth kutaka maelekezo zaidi ya kufika kwao, kama ambavyo walikuwa wamekubaliana. ?kwani wewe uko wapi?? aliuliza Julieth baada ya James kumwelezea lengo la kumpigia. ?mimi ndo natoka ofisini? alijibu kwa kifupi James, basi Julieth akamuelekeza kwenye mgahawa ambao ulikuwa karibu akimtaka amsubiri hapo akamchukue. Baada ya dakika kama kumi Julieth akawa amefika, na akashangaa kumuona James akiwa amesimama nje ya Mgahawa ule, akshusha kioocha gari na kumuita, safari hii alikuwa amekuja na gari tofauti na ile ya mwanzo. ?mbona umesimama nje sasa?? si ungeingia ukapumzika?? alihoji Julieth akiondoa gari baada ya James kuingia. ?aah! Hii migahawa yenu haiaminiki, unaweza ukanywa juice tu wakakudai elfu 20, nikaona nikungoje nje nisije nikavuliwa shati bure? alisema James na Julieth akacheka sana. ?jamani, nilikuwa nakuja kulipia chochote ambacho ungetumia? alisema Julieth ndani ya kicheko. ?ndo ungejieleza vizuri sasa, mi nimeogopa bwana?.


Safari yao ikkomea kwenye jumba moja la kifahari maeneo ya ushuani, Julieth akapiga honi, geti likafunguiwa na mtu ambaye bila shaka alikuwa na mlinzi kutokana na sare alizokuwa amevaa. James akaongozana na Julieth kuelekea ndani ya jumba lile ambalo James huonaga kwenye TV tu majumba ya aina ile. James akakaibishwa vizuri, akapewa na Juice kisha wakapumzika kwa kama dakika 20 kabla ya kazi ya kufundishana kuanza. Julieth hakuwa kilaza kama ambavyo James alimdhania mwanzo, alionekana kuwa na kichwa kizuri sana ila hakuwa na mapenzi na somo lenyewe, James aliligundua hilo mara moja na kuamua kufundisha katika hali ya kutaniana sana na kuuhusu Julieth amzoee ila baadae ampende, maana aliamini kuwa ukimpenda mwalimu lazima ulipende somo lake na hiyo ingekuwa dawa tosha kwa Julith.

?kwakweli siamini, logic imenitesa sana hii huko shule, kumbe ni rahisi hivi?? alisema Julieth wakati akimtoa James baada ya kumaliza kipindi. ?mwalimu wako hakujua namna ya kukufundisha, nakuhkikishia hakuna hesabu ngumu, ukiniamini katika hilo basi umepona? alisema James kisha wakaagana, Julieth alionekana mwenye furaha sana, tabasamu halikuisha usoni kwake, James alitamani kuendelea kumuangalia tu lakini ndo hakukuwa na sababu ya kubaki pale ili aendelee kumuangalia kwani kipindi kilikuwa kimeisha kwa siku hiyo.


James alifika nyumbani majira ya saa 2 usiku, akamkuta Monica nyumbani akiwa pekeyake, cha ahabu siku hiyo Monica aionekana kumnunia, alikuwa tofauti sana na jinsi alivyomuacha asubuhi. James akampa salam ambayo aliijibu kama hataki, James akaamua kumpuuza na kuingia chumbani kwani hakuona kama alifanya kosa kukataa ujinga wake.

Alipofika chumbani katoa simu yake ambayo hakuwa amejishughulisha anyo kwa muda mrefu sana, alipoingalia akagundua kulikuwa na sms 4, akazifungua na kugundua 3 zilikuwa za Monica na moja ilikuwa ya Julieth, akaanza na ile ya Julieth ambayo ilikuwa imeandikwa ?nimekupenda sana Teache James, wewe unajua namna ya kunifundisha, natamani ungenifundisha na vitu vingine?, James akashangazwa sana na ujumbe ule, akajiuliza kama kweli ulikuwa ukimanisha ambacho alikuwa anakifikiria au ulikuwa na maana nyingine ?atakuwa anataka kuongeza somo huyu, labda anataka nimfundishe na Physics au Chemistry? aliwaza James huku akiijibu sms ile ?usiwe na shaka, ni wewe tu niko vizuri pia kwenye Physics na Chemistry?, kisha akafungua sms za Monica, moja iliandikwa ?mambo? Uko wapi?' nyingine ilisomeka ?uwahi kurudi tuje kuendelea na darasa letu, unajua hujakamilika kama mwanaume kama hujui mabo yetu yale? nyingine ilisomeka ?mbona hujibu sms zangu? hapa ndipo akagundua kwanini Monica amenuna, alifikiri kuwa sms zake hazikujibiwa makusudi. Wakati akiendelea kulitafakari hili mara sms ikaingia, ilikuwa inatoka kwa Julieth ?mimi sina tatizo lolote kwenye Physics wala Chemistry, wala sihitaji msaada wako upande huo?, sms ile ikamuacha James njia panda, akabaki akijiuliza kitu gani anataka mtoto huyu? Au fikra zangu za awali zilikuwa sahihi? ?sasa unataka nikufundishe nini kingine?'? akauliza kwa sms James baada ya yeye kutokuwa na majibu ya uhakika, akabaki kaikodolea macho simu yake akingojea kwa hamu jibu la Julieth, ?mapenzi? Julieth akajibu kaujumbe kafupi tu, lakini kalitosha kuikologa akili ya James, akabaki akijiuliza anachokiona kweli au ndoto, akiwa kaikati ya mawazo ujumbe mwingine ukaingia ?sio siri nimekupenda na nataka uwe wangu ila sijui chochote kwenye mapnzi, nategemea uwe mwalimu wangu?, James hakuamini anachokiona, ni kweli alimpenda sana Julieth ila hakudhani anaweza naye anaweza kumtaka mtu kama yeye,sasa nitamfundisha nini ikiwa mimi mwenyewe sina nijualo? Alijiuliza James, mwisho akachukua simu yake na kutuma ujumbe ?samahani, nikiwa kazini sishiki simu, ila niko tayari kwa darasa? kabla hajaituma akajiuliza mara mbilimbili kama aitume sms ile ama laa, mwisho akafumba macho na kubonyeza kitufe cha kutuma. Baada ya sekunde chache ujumbe wake ukajibiwa ?kama unataka kujifunza nitakufundisha ila kwa mashariti matatu? James akajaribu kutabiri hayo mashariti lakini akafeli mwisho akaamua kutuma tena ujumbe ?masharti gani tena hayo?



usikose sehemu ya 4.