SEHEMU YA TANO*
Wale askari wawili walionekana kunigundua mara moja na kuongeza mwendo kuelekea pale nilipokuwa nimesimama.
“Bwana Jay uko chini ya ulinzi, tuelekee kituoni kwa mahojiano”. Alisema  askari mmoja huku yule mwenzake akinikamata mkono wangu wa kushoto kwa  nguvu sana kama vile nilimwambia nina mpango wa kuwakimbia. Akatoa pingu  kwa mkono wake mwingine na kutaka kunifunga. Nilishituka zaidi baada ya  kuonana uso kwa uso na pingu ile maana sikuwahi kufungwa pingu kabla,  na mama yangu anasemaga kufungwa pingu ni mkosi. Hivyo, nikaanza  kujitetea nikikwepesha mikono yangu kukutana na pingu ile.
“Hebu ngoja kwanza afande, nimefaya nini kwani?” niliuliza swali wakati  huu mama Jacq na yule mzee ambaye sikumjua walikuwa wametufikia. Mama  Jacq akadakia kujibu lile swali.
“Unajifanya hujui ulichofanya?? mimi nahangaika kusomesha mtoto, wewe  unakazana kumuharibu? Mwisho wako umefika mbwa weeeh!!”. Mama Jacq  alikuwa na jazba sana, hata alipokuwa anaongea alionekana kama alikuwa  akitaka kunivamia ila yule mzee alikuwa akimzuia. 
“Nionesheni basi nyaraka za kuhalalisha kukamatwa kwangu” niliamua  kujaribu kuwaonesha mapolisi wale kuwa ninajua haki zangu, polisi mmoja  akatoa karatasi na kunikabidhi. Nikaipokea na kuisoma kisha nikagundua  kukamtwa kule ni halali kabisa, nikaishiwa nguvu na kukubali kuvishwa  pingu ile na mwendo wa kuelekea kituoni ukaanza.
Mara mama Jacq akamponyoka yule mzee na kunichapa kofi zito mno ambalo  lilitua moja kwa moja kwenye macho yangu, niliumia sana hata nikashindwa  kuona kwa muda. Askari mmoja akamdhibiti vizuri mama Jacq akimtaka  apunguze hasira na kuacha sheria ichukue mkondo wake.
Tulipofika kituoni askari wale wakanitaka kukabidhi vitu vyangu vyote, wakanivua na mkanda kisha wakawa wananipeleka selo.
“Afande naomba kumpigia mtu wa kuniwekea dhamana” nilitoa ombi huku  nikijua fika kuwa ni haki yangu. Hivyo, wakanipa simu yangu, nikaipokea  na kuamua kumpigia rafiki yangu Nira.
“simu ya mteja unayempigia haipatikani, tafadhali jaribu tena baadae”  nilichanganyikiwa baada ya kukutana maneno haya, Nira alikuwa amezima  simu. 
Akili ikanambia mtu pekee ambaye naweza kumtaka msaada sasa ni mjomba  Mwinyi, hivyo nikaamua kujaribu na namba yake huku nikomba asiwe amezima  simu. Kwa bahati nzuri mjomba Mwinyi akapokea, nikamweleza  kinachoendelea kwa kifupi na kumuomba aje kunidhamini. Mjomba akanijibu  kuwa yuko tayari kunidhamini ila sio usiku huu, hivyo akaahidi kudamkia  kituoni asubuhi.
“Duuuh! Leo nimeshalala hapa, hakuna namna nyingine” nilikubali kinyonge  kabisa nikamrudishia simu yule askari akaitunza na kuendelea  kunisindikiza selo.
Miongoni mwa askari waliokuwepo pale kituoni, ni msichana wa kama miaka  28 hivi ambaye pamoja na kuwa kwenye matatizo niliweza kuuona urembo  wake bila kificho.
Msichana yule alionekana kuniangalia kwa huruma wakati wote, tukamuacha  pale na kuelekea selo, nikafungiwa na askari yule akaondoka.
Ndani ya chumba kile cha mahabusu kulikuwa na mtu mmoja ambaye  sikuhitaji kuambiwa alikuwa mlevi kutokana na harufu kali ya pombe  iliyokuwemo kwenye kile chumba. Mtu yule alikuwa amelala usingizi  fofofo. Alikuwa na majeraha mwilini ikionekana alikuwa amechezea kichapo  kizuri muda mfupi uliopita. Nikampuuza na kuchagua kaeneo kangu nikakaa  chini nikiendelea kuwaza namna ya kulitoka kasheshe hili.
Nilikuwa nimepitiwa na usingizi. Nadhani ulikuwa ni usiku mwingi sana  wakati ule niliposikia sauti ya kike ikiniita “Jay... Jay....we Jay”.  Nikashituka na kufumbua macho yangu na kuonana na uso wa mwanadada yule  askari .
“Naaaam” Nikaitika huku nikiwa nimekaa palepale chini nikijinyoosha  shingo yangu ambayo ilikuwa na maumivu kutokana na mazingira yale ya  kulala nikiwa nimekaa.
“Njoo” alinitaka kusogea pale alipokuwa amesimama nami nikatekeleza.
Nikiwa nimesimama mbele yake tukitenganishwa na nondo za mahabusu ile. 
“Sasa mvulana handsome kama wewe unahangaika na watoto wa shule wa nini  Jay? Unaona ulivyojieletea matatizo?” Aliongea dada yule ambaye  inaelekea alikuwa amekwishafutilia vizuri taarifa zangu.
“Matatizo ni sehemu ya maisha afande, ndo imeshatokea hivyo”. Nilijibu kumtoa njiani tu maana hata sikuwa na namna ya kujitetea.
“Usiniite afande bwana mi sipendi hilo jina” aliongea dada yule kwa  sauti ya mitego huku akirembua macho kimahaba. Bila shaka ndere yangu  ilikuwa imeshamteka dada wa watu. 
“Sasa nikuite nani jamani? Dada polisi?” niliuliza kiutani akacheka na kujibu..
“Niite Mwantumu, au ungependa kuniita mpenzi?”. Kufikia hapo, nikajua  kuna kitu anataka huyu dada ambaye alikuwa anavutia sana ndani ya sare  ya polisi. Nikajiuliza tena swali ambalo huwa najiuliza mara nyingi  “Hivi hawa askari wetu wa kike wanaweza kweli kumdhibiti muhalifu na  hivi visketi vyao vya kubana na vifupi?”
“Haya my love Mwantumu, nambie” nilijaribu kumuelekeza zaidi huko ambako alitaka kuelekea.
“Inamaana Jay wanawake wakubwa hujatuona mpaka unaaamua kutembea na  vitoto vya shule jamani?” aliuliza Mwantumu kwa sauti ya kimahaba. 
“Wanawake warembo kama nyie hamna muda na watu choka mbaya kama mimi”. 
Nikashangaa kuona Mwantumu anatoa funguo na kuanza kufungua lango lile la mahabusu.
“Njoo tuongelee huku bwana, hapa mlevi kachafua hali ya hewa na mapombe  yake” alisema Mwantumu huku akitangulia na kutaka nimfuate. Kichwani  mwangu nilikuwa nikijiuliza wale polisi wa kiume walikuwa wapi mpaka  binti yule anaamua kufanya mambo kama yale??!!.
Tulikwenda mpaka chumba kimoja kidogo ambacho hakikuwa na kitu zaidi ya  godoro dogo pale chini, hapa nikaamua kuuliza lile swali langu “Kwani  wale polisi wengine wako wapi? Tusije tukaingia matatizoni”. Mwantumu  akaniangalia, akatabasamu kisha akanijibu “wale ni walevi, mida hii huwa  wananiacha pekeyangu, wanaenda kulewa halafu alfajiri wanarudi”.  Nikashusha pumzi ya usalama. Tukakaa kwenye kale kagodoro na kuanza  kuongea..
“Sasa utafanyaje Jay? Unajua ukishindwa kesi hii utafungwa miaka mingi  sana?” aliuliza Mwantumu ambaye macho yake yalionesha waziwazi kuwa  hakunileta huku kuongelea kesi yangu. Hivyo, nikakamata shingo yake na  kumvutia kwangu. Kinywa changu kikapokea chake kisha ndimi zetu zikaanza  kutambuana, mikono yangu ikipapasa mwili wake. 
Mwantumu alionekana kama alikuwa na uhitaji wa muda mrefu kutokana na  sauti alizokuwa akizitoa. Nikaona mavazi yake yalikuwa yananichelewesha  kula kwa uhuru tunda lile ambalo lilikuwa limeiva tayari. Nikaanza  kumvua kwa kasi huku na yeye akinisaidia kwa kasi ileile. Tulipomaliza  kuvua ya kwake tukahamia kwenye ya kwangu. Sote tukawa watupu kisha  nikaanzia pale tulipoishia. 
Kifua cha Mwantumu kilikuwa kinashawishi kulimaliza zoezi lile palepale  lakini nilijikaza nikaamua kumpagawisha kwanza. Ulimi wangu ukapita eneo  moja baada ya jingine la mwili wake. Hatimaye ukajikuta chumvini, hapa  Mwantumu alisahau tuko wapi!! Akawa anapiga kelele kama tuko nyumbani  kwake, huku akikibana kichwa changu kwa mapaja yake kama vile anataka  kukipasua, “baby ambaaaaa!!.. utaniua mpenzi... please naombaaa”.
Mwantumu alikuwa amechoka mateso sasa akitaka niumalize mchezo, hata  mimi nilikuwa na matakwa kama yake hivyo nikateleza ndani polepole  Mwantumu akinipokea vizuri na ndani-nje ikaanza.
Nilivutiwa sana na namna Mwantumu alivyokuwa anajua kujituma hivyo  nikaona nimuweke juu ili nimpe uhuru zaidi ya kunionesha ujuzi wake.  Mwantumu alinipa burudani ambayo sikuwahi kuipata ingawa nimetembea na  wanawake wengi sana. 
Ikafikia muda nikajisikia kama nakaribia kufika kileleni lakini Mwantumu akanizuia...
“usikijoe baby... ningojee kidogo” Nami nikasitisha lakini ndani ya muda  mfupi tu nikajikuta nafika tena, ila Mwantumu akanizuia tena nami  nikaacha kwanza, Mwantumu akaendelea kuutawala mchezo na mara yeye  akataka sasa tumalize...
“tukojoe mpenziiiiii... siwezi tennaa!!”alisema Mwantumu huku akiongeza speed nami nikajiachia na tukajikuta tukifika pamoja.
Miili yetu ilikuwa ikitoka jasho tukaanza kujipepea kwa zile nguo zetu. 
“Asante sana Jay, wewe ni mtamu sana” alisema Mwantumu huku akinisogelea na kujilaza kifuani kwangu.
“Wewe ndo mtamu zaidi Mwantumu, sijawahi kupata shoo ya maana kama hii”  Nami nikaamua kumsifia, maana kwakweli alinipa burudani ya hali ya juu. 
“Utapata wapi wakati wewe unahangaika na vitoto vya shule?” alitania  Mwantumu. Tukaendelea kusifiana mpaka tukapitiwa na usingizi.
“MWANTUMUUUUUU.... MWANTUMUUUUUUU” tulishtushwa usingizini na sauti  ikiita huku ikizidi kusogea karibu na chumba hiki tulichopo. “Mungu  wangu, tumelala mpaka wamerudi” alisema Mwantumu.
*Story ndo kwanza inaanza, usikose sehemu ya Sita*