TAFUTA HAPA

Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #17

“Hamna,mbona kawaida tu!.Ila ndo sitaki tena mwanamke”.Nikazuga
“Mh! Haya bwana”.
“Poa usijali”.Tulimaliza kuongea na kuanza kupiga hadithi nyingine huku nikiamini kuwa tayari nishafunga goli la kisigino,muda si mrefu ataingia ataleta mpira kati na kuanzisha mchezo.
Baada ya kuongea sana,aliniaga na kwenda zake kwao huku akiniahidi kunitembelea kila apatapo muda. Sikuwa na wasiwasi kuhusu suala hilo kwani muda wowote kuanzia siku ile ningemaliza mchezo.
***********
Siku zikazidi kukatika bila ya mimi kumfanya chochote huku na yeye akiendelea kuja kwangu kama kawaida.
Siku moja ilikuwa ni majira ya saa kumi mbili jioni. Walezi wake wakiwa makazini huku beki tatu wao akiwa kachukua likizo ya wiki moja na kwenda Kondoa.
Nakumbuka siku hiyo alikuwa katoka kuoga na moja kwa moja alikuja hadi kwangu akiwa kavaa kanga moja halafu yale maji hakuyapukuta hivyo aliifanya kanga yake kulowa kiasi fulani na kunatia mwilini hasa maeneo ya mgongoni hadi kwa Madiba,yaani bondeni.
“Prince nasikiaga harufu ya losheni yako ya cocoa butter clere,naomba na mimi nipakae. Huwa naipenda sana,sema sina hela ya kununulia”.Alianza kuongea baada ya kuingia sebuleni kwangu. Wakati huo mimi nilikuwa bado siamini kinachoendelea.
“Ahaaa,nikuletee hapa sebuleni au utaingia huko ndani upake mwenyewe?”.Nikauliza.
“We endelea kucheki TV hapo,ngoja niingie labda nitaona na kingine cha kutumia”.Alinijibu na kugeukia mlango wa chumba changu na kusababisha nione ule mzigo aliuobeba kwa nyuma vizuri na kwa ufasaha.Na kwa kuwa ile kanga ilikuwa nyeupe na yale maji yaliilowanisha,niligundua kuwa kavaa chupi ya pinki.