TAFUTA HAPA

Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #11

“Ha ha haaa, wewe je? Kama ruba ulivyokuwa umeniganda kwenye kiuno”.
“Embu acha utani huo.Ila unayaweza Prince,kama haupo ‘form three!!!’ bwana”.Alizidi kumwaga sifa Nesi.
“Haya Dada Nesi, wewe rudi mzigoni kwanza,mi niache nilale maana hapa najihisi kufa kufa tu! Kwa jinsi nilivyochoka”.Nilimwambia hayo huku naokota bikini yake niliyoirushia upande mwingine.
“Sasa hiyo unaiweka wapi?”.Aliniuliza Nesi Subira baada ya kuona naikunja ile bikini yake na kuiweka chini ya mto.
“Hii ukumbosho Dada Nesi au hautaki niwe na kitu chako?”.Nilimuuliza.
“Heee,sasa mimi nitavaa nini?”.
“Ishi! Sasa hiki si kikamba tu! Huku mbele ndo kuna kizibo,hivyo hata usipovaa haina shida”.
“Embu acha utani P,unajua hewa ikiingia huku ni harufu gani itatoka?”.
“Ok, basi njoo hapa karibu Dada Nesi”.Nilimuita Nesi Subira na aliposogea nikaitoa ile bikini na kuanza kumvalisha. Baada ya kumaliza zoezi hilo,alivaa na yale masalia mengine ya mavazi yake na kutoka zake nje akiniacha mimi usingizi ukinichukua.
**************
“Dogo,…..dogo,….dogo”.Ilikuwa sauti ya kiume ikiniamsha.
“Mmmh”.Nikaitikia huku nafikicha macho
“Kumekucha dogo”.Alikuwa ni yule muuguzi aliyenipokea jana pale hospitali.
“Dah! Haya. Vipi lakini?”.Niliongea huku najinyoosha kwa kunyoosha mikono juu huku mihayo nayo ikiingilia mnyoosho ule.
“Poa, nadhani umepona”.Aliongea huku anatabasamu.
“Kawaida Bro,ila asante”.
“Usijali dogo. Yule siyo Nesi wala nini. Nilimleta kwa ajili yako”.Aliniambia yule muuguzi.
“Sasa kama siyo Nesi ni nani?”.Niliinuka ghafla na kumuuliza swali hilo yule Muuguzi.
“Dogo,haya mambo kusaidiana. Umenipa hela,acha nikutibu kaugonjwa kako. Kule ulipoenda kutafuta,sisi tunazo namba zao za simu. Hivyo nilimpigia huyu na kumpa mchongo wote na nina muamini kwani ni juzi tu! Kaja kupima magonjwa yote na kaonekana hana kitu”.Alinijibu yule jamaa.
“Sasa ilikuwaje mpaka akavaa yale mavazi na ulimuachaje kwa wale manesi wengine?”.Niliendelea kufukunyua mambo.