TAFUTA HAPA

MAPENZI HUNOGA MKITUMIANA SMS HIZIIII



ndege tausi alimuuliza kasuku "hivi kuna viumbe
wazuri kuliko sisi duniani?"kasuku akajibu,ndio
wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg hii
...........
Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo
nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto
kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria,
nakumiss dear fanya hima nyumbani
kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda

dear
.........
Penzi langu maarufu nakupa unienzie, Tena ni
penzi nadhifu hilo lazima ujue, Wala si penzi
la khofu wasiwasi likutie, Ni penzi la insaaf
nampa nimpendae,Kama kupenda mauti kwako
nitayarikufa,kama kupenda maradhi dawa kwako
natafuta, kama kupenda bahati mwenzako
naitafuta ,naomba nipe nafasi mwenzako nataab
Na wala sitampa mwengine anayefanana na wewe
........................................
UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia,
UPENDO si vazi ningekushonea,
UPENDO si picha yangu
ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko
moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia
usku mwema.
.......................
salaam ni
1,nuru humfariji aliye na huzuni
2 ni jahazi huvusha aliye ng'ambo
3,pia ni nuru huangaza gizani,
wewe ni lulu yangu nakupenda xana,
......................
"Umbali si shari ila kujua hali ni mali",
"jambo la wema ni asali ukimya ni ajali",
"japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali"
I LOVE U
................................
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua,
ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2,
nafurah kwa kuwa naongea nae SIMULTANEOUSLY,
ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua
kuwa nampenda yaan nahic kama niko
kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza
lakin is very long MATRIX .
Nafikir
ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON
namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea
...............................
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,
sababu we ndo wangu kipenZ,
na sina mwengine lahazz.
..............................
wee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,
hakika n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa....!!!
...........................
Nashndwa kulala haja ya moyo wng
naijua machoz hayansh homa ya mapenzi naugua
...................................
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako,
utawaliwe na

usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba

ujenge taswira yangu katika mawazo yako,
Usisahau kuniota
sweet wangu. USIKU MWEMA
......................
Asali wa moyo wangu,
fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba,
jua linaweza kusimama,

lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,
njooo mwandani wangu Figga