TAFUTA HAPA

Je unafikiri ni kitu gani kinahashiria kwamba mwenza wako anakusaliti??


Katika mapenzi kuna mambo mengi ambayo ukiyaangalia kwa umakini lazima utagundua kama mwenza wako anakusaliti, yaani ameanzisha mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine inawezekana kugundua haya kwa kuangalia namna anavyoongea na simu je huwa anakuwa katika mazingira gani? mfano: anapigiwa simu mkiwa mmekaa wawili ananyanyuka na kwenda kuongelea sehemu nyingine, lazima utafakari "Hivi huyu mtu kwanini? ameshindwa kupokea simu mbele yangu"

 Au mwanzoni alikuwa yupo huru sana na simu yake anaweza kuiacha sebuleni hata popote pale mazingira ya nyumbani, lakini mara ghafla anaanza kuwa makini na simu yake hadi kufikia hatua ya kuingia nayo bafuni huku akijidai anatarajia kupigiwa simu na mtu muhimu,,kuna mambo mengi sana ukiwa makini utagundua katika tendo la ndoa inawezekana akapunguza ubunifu kutokana na kuchoka sana kwa kuwa anao wapenzi wengi,,mazungumzo na mambo mengine mengi KUWA MAKINI MULIKA MWIZI WA MAPENZI,,,,,