TAFUTA HAPA

IBANIE KWA NDANI SEHEMU YA KWANZA

Ilikuwa siku ya furaha sana siku nilipomaliza kumpa …
Nilimpa na akasema asante kwa sauti kubwa mpaka nikamfunga mdomo..
Kuogopa watu wengine wasisikie saut yake na kujua alikuwa ndani na mimi
Ilikuwa ngumu sana kumpa ngumu mno kumpa …nilijipanga muda mrefu sana
Ilingarimu mwaka moja na nusu kupanga jinsi ya kumpa n anime kwa staili
Ipi na kuwa muda gani na nimpee wapi ..ilikuwa changamoto kubwa sana,.
Kubwa kubwa katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kama nitampa
Kwa  kweli  toka siku ya kwanza nilipoonana nae nilihisi tulazima
Haya mambo yatafikia huku nilijua tu lazima ataomba nimpe
Nilijua na nilitegemea sana ingawa nilijipa moyo hakuna kumpa
Mtu hapa ni kubana mpaka mwisho hata aombaje hapewe
Bora noma na iwe noma lakini  kadri siku zilivyozipid kwenda
Ushawish ulizi kuwa mkubwa na nguvu na ujuzi wake wa
Kushawish alizidi kuongeza ..na mimi nilizid kubana
Nilibana balaa unajua kubana wewe..kama unajua kubana
basi tambua nilibana mpaka mwisho nilibana mmno na hapo
wakati nabana hakuna aliyejua zaid ya yeye anayeniomba
na mimi mimi mtoaji nilikataa hata kusikua kuna siku nyingi tu
sikupokea simu wala kujibu msg za mtu huyu ni jamaani
kunawatu wanajua kuomba jamaani acha kabisa acha kabisa
watu wanaomba mpaka wanalia wanagalagala chini
wanapiga mpaka kilugha cha nyumbani kwao..
lakini kwa kubana pia tupo wenye uwezo wetu
tunabana balaa na kubana kunaraha yake usisikie ..
 ubane na unayembania azidi kukuomba anaupa

nguvu ya kuendelea kubana zaidi.