TAFUTA HAPA

Simulizi: MSAMAHA WA MAMA ( SEHEMU YA 14)

Riwaya: MSAMAHA WA MAMA
Mwandishi: SEID BIN SALIM

SEHEMU YA 14

Ilipoishia:

Kipindi Raya anapiga hatua nyuma ya bibi harusi huku umati wa watu ukiwa unapiga makofi, kwa bahati mbaya alikanya gauni lake refu akaanguka chini. Upepo kidogo ulikuwa unapiga muda huo, gauni lote lilipanda juu, surual ya jinzi aliyokuwa ameivalia  ndani ndio ikawa imemnusuru kumwaga radhi mbele ya umati wa watu, huku baadhi ya watu wakianza kutoa macho na maneno ya mshangao.

Songa nayo...

Raya aibu zilimuingia baada ya kuona watu wamemtolea macho ya mshangao, aliinuka chini akamuomba Seid aliekuwa pembeni yake amtoe eneo lile, aliinuka wakaanza kutembea seid akampeleka mpaka nyuma ya nyumba, walipofika alijipangusa pangusa huku akiangalia kila kitu kilivyoharibika mwilini mwake, Seid nae alitumia muda huo kumwangalia msichana raya namna alivyoumbika, macho yake yalivyokuwa yakimtazama ni zaid ya macho yaliyoona nyota nyeupe mbele yake, Alimthaminisha msichana huyo  na kuona kama hakuna msichana mzuri alie wahi kukutana nae akawa ameumbika kiaina yake namna ile, alisahau dhumuni la kumpeleka nyuma ya nyumba na kuanza kuwaza mengine.

"Oooooh mwanamke mrembo sana huyu!.
Maneno yalipita moyoni, Raya aliinuka akasimama na kumuona jinsi seid anavyomuangalia.
" Umeshamaliza?. Seid aliuliza kwa kuzuga.
" Ndio nimemaliza tunaweza kwenda sasa hivi naona niko sawa.
" Okey, unaitwa nani?. Aliona si vibaya akimuuliza jina.
" Raya.
" Wao jina zuri kama wewe mwenyewe mimi naitwa Seid.
" Asante na wewe pia jina zuri.
" Thank you ( Asante ) unasoma bado?
" Ndio nimeingia chuo mwaka huu.
" Unasomea nini?. sorry. Aliuliza na kusema samahani seid akihisi uenda anamkwaza bibie huyo kwa maswali yake.

Kwa mara ya kwanza tokea azaliwe alipata bahati ya kuongea na msichana alieonekana kukamilika kila idara katika mwili wake, tayari akilini alishajenga kitu tofauti juu ya raya, aliitaji kutumia muda huo kupata japo namba ya cm, huku harusi ikiendelea baada ya bibi harusi kufika sehemu aliyokuwa anatakiwa kukaa na kukalishwa na moja ya ndugu zake wa karibu.

" Mimi nasomea Sheria. Alisema raya kujibu swali la seid.
" ina maana umemaliza kidato cha sita msimu huu?.
" Ndio. Naona kama tunachelewa lakini kwa nini tusiende kwanza alafu tutaongea tu badae.?. Aliuliza raya.
" No Raya, ujue kuna usemi usemao kiwezekanacho sasa hivi kifanyike sasa kisingoje badae, nijibu tafadhali..
" Ndio nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata majibu ya kuendelea.
" Basi tuko njia moja na nadhani muda si mrefu tunaweza kukaa darasa moja kupiga kitabu cha chuo.

Raya alimuangalia usoni Seid kwa mshangao baada ya kusema hivyo akamuuliza " na wewe ndio umeingia chuo?
" Ndio. kama ulipata habari za kuuzwa kwa matokeo yalikuwa yangu, yameuzwa na kusababisha matokeo yarudiwe, ila namshukuru Mungu na baadhi ya wazee wangu, nimeingia chuo.
" ooooooh nimefurahi sana kukufahamu, ina maana kumbe niko na kampani yangu mpya ya darasani.
" inawezekana, bado wiki mbili tu na nadhani tukiachana hapa tutakutana class.
" Ok basi naomba nikupe namba yangu ya cm kisha tutaongea vizuri pliiiz.

Raya aliingiwa furaha ya ghafla, alipojua seid nae yuko chuo, kisha tayari wamejuana, kwani muda wote alikuwa anajiuliza akiingia darasan siku ya kwanza ataongea na nani zaid ya upweke ambao ungemfanya kuwa na msongamano wa mawazo.

Alitoa cm yake iliyokuwa nokia kubwa ya kupangusa, Seid aliingiwa na aibu baada ya kuuona msimu wa Raya, mawazo yakamuingia akajisemea huku akitembeza macho " aisseee kwa cm hii nitoe kacm kangu haka na kwa suti hii niliyovaa si atanishangaa sana? Hapana ni aibu kubwa sitoi..
" Kwa nini nisikupe za kwangu kisha ukazipiga kwa sababu cm yangu nimeiacha nyumbani. Alisema hivyo akijua kabisa ameiweka Silent hata akipiga haina shida.
" Ok nitajia phone namba yako.
" sifuri, saba, kumi na mbili, 840431
" Asante sana, nitaipiga badaye, alafu tutaongea kiurefu zaidi, nimefurahi sana kukufahamu.
" Na mimi pia nimefurahi kukufahamu.

Walishikana viganja vya mikono kisha wakaachiana, Seid alihisi ameushika mkono wa malkia wa dunia nzima namna ashk ya mkono wa raya ilivyomuingia hadi moyoni,  walirudi sehemu ambayo kulikuwa na shuguli yenyewe, wakapita moja kwa moja hadi kwenye viti vya mbele vya kukaa wageni waalikwa au watu wa karibu wa pande zote mbili.

Masheikh na mawalii wa kusimamia ndoa walikaa eneo husika, ndoa ilianza kufungwa rahma machozi yakimtoka,  ukimya kwa watu wote ulitawala, mpaka pale masheikh walipomaliza kufungisha ndoa ndipo shangwe na madufu ya ngoma za harusi yakaanza kurindima, Rahma hakuweza kuvumilia uvumi wa sauti za watu wanavyoshangilia kuolewa kwake, alianguka chini akapoteza fahamu.

Mshangao uliwaingia upya watu baada ya kuona mwana mwari anaanguka chini, bahati nzuri harusi tayari ilishakamilika, alinyanyuliwa akabebwa na kuingizwa ndani kwa kuwa Ticha alishakuwa mumewe halali, walimpitisha moja kwa moja hadi chumbani Kitandani.

Misosi na mambo mengine yalifata kwa nje, Rusha roho la kiutu uzima lilianza, huku nyimbo za zamani zamani za mwondoko wa mwambao zikiwaachia watu ujumbe mzito. Ilipofika saa moja kamili zilianza zile za kisasa, mduara mkubwa ukaundwa na kuchezeka kitaalam, vijana na kanzu zao, watoto wakike na madela yao, waliusakata vilivyo ndani ya mduara mziki wa Taarabu, Huku wengi wakikosheka roho zao kutokana na maneno matam yaliyokuwa yakitolewa na waimbaji mchanganyiko kama, mfalme, isha, malkia na wengine wengi.

Rahma baada ya kurudisha fahamu zake, alishangaa kujikuta Kitandani akiwa yeye na Ticha tu chumbani, Ticha alimuangalia rahma akamuachia busu la paji la uso, rahma alikwepesha macho kumuangalia mume wake, mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio kutokana na uwoga wa kitendo alichojua ndicho kinachofata mbeleni baada ya kuolewa.

" Mbona mapigo ya moyo yanaenda mbio Rahma!?. Rajabu ambaye ni Ticha alimuuliza mke wake alipouona moyo wake unapiga mpaka kwa nje.
" naogoopa miimi. aliongea kwa sauti ya chini chini

" Rahma mke wangu, najua hujawai kufanya hiki kitendo ndio maana unaogopa, ila ni hali ya siku moja tu siku nyingine zote utafurahi usijali, nikuulize swali!? ,, ticha alisema.

Hakuweza kujibu kutokana na machozi tayari kumlenga lenga, alitikisa tu kichwa akimanisha amekubali amuulize.
" Unanipenda!? ,,Ticha aliuliza kwa sauti iliyokuwa imejaa hubba za kutosha. Rahma alitikisa tena kichwa akimanisha ndio.
" Basi naomba uwe tayari kwa hili mke wangu, najua utaumia ila sii sana na kuna utamu flan utaupata tafadhali Habiib okey!?.

Ticha hakuitaji kupoteza muda, alijua hiyo ni nafasi yake nzuri ya kuungana na walimwengu wengi wanaofaidi raha za tunda lililoumbwa na Mwenye ezi Mungu kikamilifu, alimpa maneno ya kumpa moyo rahma, alikuwa na hamu sana juu ya tendo hilo, alichojoa nguo zake moja baada ya nyingine akawa amebaki na boxa tupu.

katika angaika angaika kitandani ili kukaa vizuri, Rahma alifanikiwa kuona boxa ilivyotuna ikiashiria ndani kuna balaa, alifumba macho akiwa tayari anagugumia kwa kilio, mwili wote ulisisimka huku mawazo yakimtanda.
" Mungu wangu, ndio kinaingia mwilini mwangu kile chote kilichojaa kwenye boxa? . Ticha hakuacha kumpa maneno mazuri ya kumtia moyo, alimvua nguo moja baada ya nyingine akimgeuza geuza huku na kule mpaka alipobaki na ya ndani, taratibu alianza kumsifia alivyomzuri maeneo flan ya mapajani, vifuu vyake vilisimama imara, Ticha alipenya kati kati ya mapaja yake, Rahma akiwa hajiwezi kwa kilio, aliweka mikono huku na huku, akainama kidogo na kuanza kufaidi unyonyaji wa embe dodo zilizoiviana, alifyonza kwa juu huku ndege wakilalamika jinsi anavyowachukulia chakula chao, lakini alishindwa kuwajibu kwa sababu tayari alikuwa na ham nazo.

Aliupenyeza mkono mmoja katika kiuno cha Rahma akamuomba ainuke kidogo atoe ch*pi yake, Rahma aliinua kidogo kiuno, mikono ilikuwa usoni kwa aibu anazoziona.

hakuwai katika maisha yake yote kulala na mwanaume hiyo ndio ilikuwa mara yake ya kwanza. Ticha alimtoa ch*pi yake akaiteremsha hadi miguuni na kuitupa pembeni, japo alidai anaogopa lakini kwa bibi tayari palishaloana. Ticha alijaribu kugusa kwa kidole kuangalia kama bado haparuhusu au hali ya hewa ishachafuka, Rahma alishtuka na kuachia pumzi baada ya kuguswa juu juu ya sehemu husika maeneo ya kwenye kinaniliu, alipokuta tayari pamechafuka nae alivua boxa yake kwa ajili ya kuianza safari ya shida, ambayo alihisi haina raha yoyote kutokana na muendeshaji safari kuwa mgeni wa mazingira.

Siku hiyo ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa baadhi ya watu hasa kwa Seid na Ticha aliekuwa anaoa, watu wengi sana walilala ukumbini kutokana na shuguli kunoga, ilipofika saa mbili asubuhi mmoja mmoja alianza kuondoka, hamad na seid nao waliamua kusepa zao baada ya kuona tayari majukumu yote washayamaliza.

Seid kabla ya kuondoka alimuaga mama yake, alimtafuta na Raya ili nae amuage lakini hakumuona, alitoka mpaka kwenye gari ambako alimkuta rafiki yake, wakaanza safari ya kwenda darajani mjini..

" Eh bhana Ticha kachukua mtoto wa ukweli!. Hamad aliongea
" Ah mtoto si masihara, mzuri mzuri kweli.
" Ila mimi nikimaliza kusoma sioi Tanzania, nikioa tz basi naoa mwarabu.
" kwa nini ndugu yangu.
" Nawapenda sana, yani waswahili sina mzuka nao kiukweli.
" Yote Tisa umemuona yule aliekuwa anamsindikiza Rahma anaitwa Raya.
" Ndio.
" nilipompeleka nyuma kujipangusa tumeongea mengi sana, akasema anaingia chuo msimu huu.
" Ndio yule kweli anaingia chuo, baba yake anaitwa Soudy, mkali vibaya mno!

Seid alipotajiwa jina la Soudy alishtuka.

" Baba yake anaitwa Soudy!? ,,aliuliza kwa mshangao.
" Yah Tena yule jamaa hafai maana ni mzee wa vitoto vidogo vidogo tu yeye, anaoa nakuacha ndio tabia yake, ana pesa lakini anazichezea vibaya kiukweli, hajali kuhusu watoto wala hamjali mwanamke aliemchoka. Alisema hamadi.

Seid aliguna kusikia maneno hayo kutoka kwa rafiki yake, alianza kujiuliza maswali mengi moyoni, akalitafakari jina la Soud na Masoud bila kuyapatia jibu, hakuitaji kuyapa nafasi kubwa sana mawazo hayo akijua yatamuaribia furaha yake aliyokuwa nayo.
Walipofika mjini walienda moja kwa moja nyumbani kwa Hamad, alichukua baadhi ya Vitu alivyokuwa ameviacha chumbani kwa jamaa, Hamad alitoa elfu 40 akampatia na kumwambia zitamsogeza kwenye mambo ya mafuta na vitu vingine, alitoka akapanda dala dala na kuondoka huku wakiagana kwa kuambiana watakutana Jumaa tatu ijayo ambayo itakuwa siku ya kuanza Chuo.

Ilipofika saa sita bi najma nae alianza safari ya kutoka kwenye harusi akiwa amepata urafiki mwingi wa wanawake wenzake, hakuitaji kumtafuta Seid akijua mapema tu ameondoka, Watu walizidi kupungua nyumbani hapo, Rajabu ambaye ndio bwana harusi mwenyewe , aliamka mapema kwa ajili ya kusalimiana na watu pamoja na kuweka mambo mengine sawa, huku wengine wakicheka walipomuona na kumtania ,, " Usiku umekuwa mfupi kwako leo mr"

Rahma ndio alishindwa hata kuamka, mapaja yote yakimuuma, Bafu na choo vilikuwa humo humo ndani ya chumba hivyo hakuona umuhimu wa kutoka nje na maumivu aliyo nayo.
" Hivi haya maumivu ni mimi tu nimeyapata au wanawake wote?, na mbona wengine wanajiuza sasa, kwa raha gani hasa huwa wanapata mpaka wanaamua kujirahisisha kwa mwanaume?. Aliongea Rahma akiwa ameegamia kitanda, hakuwa amevaa chochote muda huo zaid ya shuka, aliyatafakari maisha yake mapya ya ndoa, macho aliyapeleka huku na kule, alinyanyua cm yake iliyokuwa pembeni na kuangalia kama kuna chochote kilichoingia, alikuta message zaid ya 50 hakuitaji kuziangalia akijua nyingi za pongezi kuolewa, aliiweka chini akanyoosha miguu, huku akikunja sura kwa maumivu aliyokuwa nayo.
" Eh kweli kuolewa shida tu, mwanaume mwenyewe hana hata huruma, mtu unalia yeye bado anasokomeza tuuuuuuĆ¹uu, Loh!

Mpaka ilipotimia saa kumi jioni hakukuwa amebaki mtu nyumbani kwa bwana harusi zaid ya ndugu wa karibu karibu, miziki yote, maturubai na vingine vilivyokuwepo vyote vilisharudishwa na kubaki kawaida.

Bi Najma alifika nyumbani kwake akiwa na furaha ya kuinjoy shugulini, alishangaa sana kumkuta mwanae katika msongo wa mawazo, kabla ya kufanya chochote ilibidi amuulize kwani alimjua vizuri mtoto wake, sura yake ikibadilika kidogo tu anajua kuna tatizo.
" Baba yangu nini shida?. Aliuliza.
" Mama nimekutana na msichana mmoja anaitwa Raya, nilivyomweleza Hamad amenambia raya ni mtoto wa Soud ndipo nilipochanganyikiwa, kibaya zaidi sasa akanambia ni mtu wa kuoa na kuacha yani vitoto vidogo ndio anavipenda. Alisema seid.

Bi Najma nae alishangaa aliposikia maneno hayo, ila hakuitaji kuyaamini, alimwambia mwanae asiyaweke akilini mwake, Soud na masoud ni watu wawili tofauti, na soud wapo wengi,
Seid alifahamishwa na mama yake mpaka akafahamu, mawazo yalimuisha, walielezana mambo yote yaliyotokea harusini, Cm ya Seid iliita kuangalia ni new namba aliinuka alipokuwa amekaa ili kutoka nje kwa ajili ya kupokea mawazo yakimwambia atakuwa Raya.
" Mama ngoja nakuja alafu nikusimulie kilichonikuta leo, kicm hiki kingenitia aibu.

Alifungua mlango akatoka nje, alipopokea cm upande wa pili ilisikika sauti ya kike nyororo ina hit kwenye masikio ya mtu, hakuitaji kuuliza tayari alishaisikia sauti na kujua ni ya raya.
"Ushanijua? Aliuliza raya.
" Nadhani ni Raya.
" Ndio mambo?
" Poa mzima.
" Mimi mzima, hiyo ndio namba yangu naomba tuwe marafiki wa karibu sana Seid, kwa sababu huko chuo sina rafiki yoyote nadhani wewe ndio utakuwa wa kwanza.
" Usijali Raya kuhusu hilo, unamfahamu Hamad?
" Hamad mtoto wa mzee shaibu?.
" Yah.
" Ni rafiki yangu sana japo nilikuja kupoteza namba yake.
" Basi nae tutakuwa nae darasa moja.
" What!. are you serious Seid? ( nini, kweli seid?
" Yeah seriuos. ( ndio kweli?
" Wao ebu naomba unitumie namba yake tafadhali.
" Usijali nakutumia.

Seid Sauti ilimfanya anyong'onyee ghafla namna ilivyokuwa nzuri na ya kuvutia, alikata cm akaingia upande wa message akaiandika namba ya hamad na kuituma haraka, alivyokuwa tayari ameituma aliitaji kumchokoza ikiwezekana watumiane ujumbe mfupi.
Alipomaliza aliingia ndani akamuelezea mama yake kilichomkuta,  wakati wa kutoa namba ilivyokuwa shida, Messaji iliingia akaifungua haraka, Sura yake ilijawa na tabasam zito baada ya kuona text kutoka kwa Raya, alijibu kisha cm akaiweka pembeni akaendelea kupiga story na mama yake.

Maisha yalisonga mbele, Rahma alizoea taratibu maisha ya ndoa, kila siku zilivyozidi kusonga mbele ndivyo alijikuta akifurahia hasa kipindi cha Tendo la ndoa, Rajabu alikuwa mtaalam sana wa kumhendo mwanamke, Rahma maneno aliyowai kuyasema mwanzo "kuolewa ni shida tupu " aliyageuza baada ya kuona anafurahi sana katika maisha yake ya ndoa kuliko hata alivyokuwa nyumbani kwao.
Siku ya chuo ilifika baada ya wiki mbili kupita,  Asubuhi na mapema wanafunzi wengi waliokuwa wanaingia chuo walijiandaa vya kutosha, Hamad alimpigia cm seid kumuuliza kama tayari ashajiandaa ili amfate waende wote chuo.
" ndio niko najiandaa ndugu yangu.
" Sawa mimi nakufata twende wote.
" Nashkuru sana kaka, kiukweli nashkuru sana.

Hamad alikata cm akaingia kwenye gari na kuanza safari ya shamba.
" Mama laiti marafiki wote duniani wangekuwa kama huyu jamaa tungeishi kwa raha watu. Seid alimwambia mama yake baada ya kukata cm.
" Ina maana anakufata?
" Eti!, Yani mtu anatumia gari lake mafuta yake kunifata wakati uwezo wa kupanda dala dala upo, ila kufanya hivyo kote nionekane nami niko juu mbele ya watu kutokana na watu kunicheka sana, mama nimechekwa mimi wewe!!! basi tu.
" Ndio unatakiwa umfanyie wema sasa na wewe rafiki yako, sio siku unazipata unakuja kumfanyia upumbavu, mtu anakufanyia vyote hivyo, Mungu akikujalia na wewe ukapata vyako, unampatia zawadi nzuri kama shukrani maana vijana hamweshi kujisahau nyie.
" Mama yangu mimi ujinga nitaufanya kwa wengine ila si kwa Hamad kiukweli namkubali sana na kanisaidia sana, yani hata nikimfanyia ubaya Mungu atanihukumu vibaya mno. Alisema kumwambia mama yake.

Hamad kipindi yuko njiani kuelekea shamba kumfata seid alikutana na baadhi ya magari ya wanafunzi wakielekea chuo, aliangalia muda akaona bado  dakika 50 tu kila mmoja kuwa chuoni, aliongeza mwendo mpaka alipofika Nyumbani kwa Seid, Seid alikuwa ndani akiwa tayari amejiandaa kwa kila kitu, yeye na mama yake waliposikia mlio wa gari waliinuka wakatoka nje, hamad alishuka na kutembea haraka, alifika mlangoni ambapo alimuona mama seid akiwa amesimama, akamsalimia kwa kumkumbatia na mabusu usoni kuonesha mahabba na kumchukulia kama mama yake, Seid alitoka ndani akiwa mwenye kung'aa walimuaga mama wakaingia ndani ya gari na kuanza safari.


Tukutane sehemu ya 15