Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa  na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke  airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia,  ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao  kwanza.
Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa kanga ni mweupe akiwasaidia  kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize sista kwamba  huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba  awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa india, maana hapakua na mtu nyumba  yote ile. nikamjibu OK, akili yote iliamia kwa yule mrembo.
Muda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza  kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa sista  nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo. aisee  nilikamua mafutaa mpaka mbez beach, ninakaa nao karbu umbali wa km3 toka  kwao.
Nikafika nikapga hodi, mtoto akaja fasta akauliza nani, nikamjibu kaka  rich hapa nimesahau funguo ya gheto kwangu, akasema wapi, nikamjibu  kwenye kochi, akasema subiri nikuletee, nikamjibu poa, hapo bado  hajafungua geti, na ufunguo nilikua ninao mwenyewe, akarud akisema  hauoni, nikamwambia fungua nije niangalie mwenyewe, akafungua geti(  KOSA) nikazama ndan nikijidai natafuta ufunguo, saa saba ya usiku hiyo,  huku yeye kasimama ameshika kiuno ananiangalia ninavyohangaika kubidua  masofa ya watu kama kweli vile.
Nikamwita anisaidie, akaja, nikasema hapana ngoja nivue shati maana  naswet vbaya, uzalendo ukanishinda nikamfata kwa nyuma nikamkumbatia,  lahaulaa akapiga kelele, nikamwambia usiogope, nikamweleza yaliyo moyoni  yote mtoto akaelewa ila akawa mgumu kujirahisisha.
Akakimbilia chumban kwake na mlango kaacha wazi akisema nisimsumbue  anataka kulala, nikacheka kimoyomoyo nikisema kwisha habari yako  umeniachia mlango wazi pia umevaa kanga moja, nikamfata hukohuko  nikaomba mzigo akawa anakataa mara ooh ndo tunaona mara ya kwanza, mara  nipo danger maneno kibao, huku natomasa tu nikaona mtoto anapumua kwa  kasi huku akiongea maneno yasiyoeleweka, nikasema tayariiii.
Mtoto akanipa ushirikiano vya kutosha mpaka saa 10 alfajir mwanaume  naondoka kwa watu mku mtoto akinisindikiza mpaka getin, kesho yake nipo  job akili yangu yote inamuwaza yeye nikasema hataa lazima niende tena,  nikamwendea hewani nikaimbisha tena akakubali niende saa tano ila sio na  gari maana ndugu watastukia ishu kwa sabab wapo karbu nao nawanajua  muhndi kasepa na mimi saa 10.
Muda ukafika nikachapa lapa mpaka kwa sista nikajilia vyangu mpaka saa  12.nilishiba aisee. Balaa linaanzia hapa baada kupga mara mbili na mara  mwisho, mtoto akaanza kusumbua mara ooh sioni sku zangu na hii itakua  mimba yako, nikamwambia acha ujinga wako yaani siku mbili tu cku  huzioni, hiyo itakua ya watu wengine unataka kunisingzia, mi sihusiki,  nikaanza kupokea matusi ya kutosha na pia akinitishia kuwa atamwambia  sista kwamba cku ile nilivyowapeleka airport nilirudi kumbaka.
Aisee nilitaka kuanguka kwenye kiti ofisini, kuhusu kama akimwambia  sista huu ujinga nilioufanya kwake. Ikabidi niwe mpole tu kukubali hali,  akili inanituma nikamchoropoe bila ya yeye mwenyew kujua, maana baby  wangu akijua hili nimekwisha.
