Basi asubuhi sana zai akaniandalia maji ya kuoga na kisha akaandaa chai nilipotoka kuoga.
Tulikunywa chai, kisha nikamwambia kuwa anipe pesa yangu maana nisije kulizamisha duka la shangaz bure kwa kuendekeza chupi.
Kusema ukweli pesa kwa zai haikuwa tatizo kwani alinipa na zaidi ya nilikuwa namdai.
Nilimuaga kisha nikaelekea dukani kuendelea na shughuli za uuzaji.
Nikafungua simu nikakutana na sms ubwabwa maana hadi betri lilianza kuonesha ishara ya kuzima.
Kiukweli sms nyingi zilikuwa za shangazi kunitafuta maana jana sikwenda nyumbani wala sijatoa taarifa.nikampigia na kumwambia kuwa mm nipo mzima ila jana nilienda club kumcheki raisi wa wasafi maana nilikuwa namuona kwenye tv.
Mida kama ya saa 4 asbh shangaz alikuja kuchukuwa mauzo yake na akawa anaishukuru kuwa nina akili ya kuendesha biashara.
Akaondoka na kuniacha nikiwa naendelea na kaz yangu.
Nikiwa naendelea,mara simu yangu ikawa inaita kuchek alikuwa rafik angu jizo,nikaongea nae sana,ila nikajakushtuka aliponiambia ypo na....