TAFUTA HAPA

Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #13

Ngoja nikupe habari za Stela kidogo tu.Stela alikuwa ni binti mmoja matata sana katika uso wa kila atakayemuona. Stela alikuwa ni mweupe na weupe wake ulikuwa ni wa asili kabisa. Huku nyuma alibarikiwa kitambi cha maana ambacho kwa kachaa mimi na uhuni wangu nikikiona lazima Prince naye aamke na kutaka kufungua pazia la suruali yangu lililofungwa na zipu kwa lengo la kutaka kuchungulia kwa jicho lake moja.
Stela mguu wake ulikuwa wa haja na wenye sifa ambazo si rahisi kuzielezea. Huku kifua chake ndio kwanza kilikuwa kinaanza kuchipua mizizi ya chuchu ambazo zilikuwa bado hazijasimama kwa sababu ya kukosa kushikwa shikwa na kunyonywa na watu wajinga wajinga wa huko anapotoka.Nikirudi usoni pake,nilikutana na sura nyembamba iliyopambwa na midomo mizuri na ya kitoto,isiyojua ‘malip shine’ wala makorombwezo yale ya mdomoni.Pia macho yake hayakuhitaji makoro koro ya ajabu,na zile nyusi zake wala hazikukatwa. Yaani kwa kifupi alikuwa ana uzuri wa asili. Huyo ni Stela.
Kuna yule Beki Tatu wao, yeye alikuwa ni mtu wa Kondoa yaani Mrangi. Sifa za Warangi jamani si mwazijua? Weupe sana tu! na ni wazuri sana usoni,lakini miguu yao na sehemu za nyuma wengi wao wana mironjo pamoja na kupigwa pasi kwa nyuma (SAMAHANINI WARANGI,ILA NI KWELI HILO JAPO SIYO WOTE)
Maimuna yaani beki tatu wao,alikuwa ni mzuri sana tena sana tu! Na likuwa hana tofauti na Stela kwenye sura,ila tatizo la Mai alikuwa hana wese,hivyo baada ya kuamia pale nyumbani, tageti yangu ya kwanza ikawa ni kwa toto la Kinyaturu, toto lililobarikiwa umbo tamu kwa kuliangalia tu! kwa nje. Huyo ndiye mpangaji wa kwanza niliyekuwa namtolea macho kwa muda ule.