TAFUTA HAPA

DUDU WASHA-42

Ujumbe huo mfupi ulimfanya Shani kupoteza fahamu huku akijua wazi
Sefu alikuwa na UKIMWI hivyo hata yeye ameambukizwa,,,Sefu alianza
kuhangaika kumzindua Shani aliyekuwa amelegea hasa,alichukua maji
na kuanza kumwekea kwenye paji la uso,baada ya dakika tatu kupita
Shani alirejesha fahamu zake ambapo Sefu alijifanya amekasirika
kabisa
,,,sa kilichokufanya uzimie ni nini,,?,au hujazimia muda mrefu,,?
,,,Sefu umeniua jamani,,!,aliongea hivyo Shani huku akitaka
kudondosha chozi
,,,una uhakika kama nina UKIMWI,,?,tena usinichulie,,,aliposema hivyo
Sefu alimtupia kile kikaratasi alichopewa na daktari ambacho
kilionyesha yuko salama
Kwa macho kama ya fundi saa aliyepoteza nati aliichukua karatasi hiyo
Shani na kuiangalia kiukweli hakuamini aliposoma,mpaka tarehe
ilikuwa ya siku hiyo,na hapo ndipo akagundua kuwa muda ule
aliokutana naye ndio alikuwa anatoka Hospitarini,,,jamani,samahani
Sefu wangu,sikujua,,,,aliongea hivyo Shani akimwomba msamaha Sefu
ambapo Sefu alileta mapozi kidogo kwa kumgeuzia mgongo,kwa vile
Shani ndiye alikuwa mkosaji alimbembeleza Sefu na kuyaweka mambo
sawa
Sefu aliporudi mtaani sasa,alikuta yale mambo yaliyoandikwa kwenye
meseji iliyomzimisha Shani,ni kweli Mwalimu Walda alikuwa
ameshapoteza maisha,hivyo kwa heshima aliongezewa jina lingine
ambapo aliitwa Marehemu Mwalimu Walda,msiba ulikuwa nyumbani
kwake ambapo ndugu zake wengi walihudhuria,pia wanafunzi wa
Shule ya msingi Tundu walikuwepo,walimu na wanajamii wengi sana
Mbali na Walda kuchukiza mtaani hapo na tabia yake ya umalaya lakini
siku zote watu husema kizuri hakikosi upande mbaya na kibaya
hakikosi upande mzuri,na hii ndio sababu inayotufanya tuwakumbuke
kwa mazuri wale waliovuma kwa ubaya,Walda enzi za uhai wake kabla
hajaanza kudhoofika kiafya aliweza kuwasaidia wazee wengi na
kuwasaidia watu wenye matatizo mbalimbali,huo ndio ulikuwa upande
mzuri ambao ulibaki kama Kumbukumbu nzuri kwenye baadhi ya
vichwa vya watu wanaoelewa nini maana ya ubinadamu
Moja kati ya vijana waliopata kuhudhuria msiba huo kwa mashiko
makubwa alikuwa ni Sefu,pia vijana wengi wa mtaani walihudhuria
ambapo wazee pia walionyesha uwepo wao,kila mtu alishikwa na
huzuni japo kuna baadhi walisema ni bora amekufa ili asiendelee
kuwaua vijana,papo hapo kuna vijana waliokwishaenda kupima afya
zao na kukutwa na virusi vya UKIMWI,walimlaani sana Walda na
kuunga mkono waliokuwa wakisema ni Bora amekufa
,,,kaka,haina haja ya kukuficha,mimi pia ni mmoja kati waliwahi
kutembea na Walda kwa zaidi ya mara tatu,,,
,,,tumeisha kaka,huyu mama sio kabisa,ndio hivyo tena tutakufa kama
yeye,,,
,,,mimi siwezi kusubiri mpaka nife,ni bora nijiue,ile aibu sana ujue,,!
,,,hata kama,ushaharibu,hivyo tunachotakiwa kufanya ni kukaa mbali
na mabinti ili tusiwaambukize,tusifanye kama alichokifanya yeye,,,
,,,ni kweli,lakini tutaishije bila kudinya mademu,,?
,,,tumwombe mungu,na kama unafanya hivyo basi kwa uangalifu
mkubwa sana tena ukiwa unatumia kondomu,,,
,,,mmh,sawa ndugu lakini kuna mchakato Fulani umeusikia kuhusu
ishu ya kupima,,?
,,,hapana,kuna nini kwani,,?
,,,unajua tuliotembea na Walda tupo wengi hivyo kabla hajafa
Marehemu Walda aliomba baadhi ya watu wasiambiwe ukweli kwani
itakuwa ni idadi kubwa sana ya watu walioathirika,ila washauriwe tu
kama watu walioathirika,,,
,,,aah,yaweza kuwa maneno tu,madaktari wamekaa na ujuzi wao
wakudanganye,,?,sasa watakuwa wanaokoa au wanazidisha kuua,,?
,,,hizo ni nyepesinyepesi tu lakini bado hazijawa nzito,,,
,,,haina noma,itafahamika tu,leo sisi tumejua,kesho wao
waliodanganywa watajua,,hayo yalikuwa ni Maongezi kati ya vijana
wawili ambao Sefu akiwa nyuma yao alipata kuwasikia kila
kitu,alishtuka aliposikia kuwa madaktari wameambiwa wasiwaambie
ukweli baadhi ya vijana walioathirika ili kupunguza presha na maamuzi
mabaya kwa baadhi ya vijana,lakini kwa upande mwingine aliona kama
ni ndoto za alinaacha
Zilifikia nyakati za usiku ambapo Sefu akiwa na baadhi ya vijana
wenzake watano walipata kujitolea kuwa wahudumu wa msiba huo na
kuwa watumwaji wa vitu vidogovidogo vinavyoghitajiwa masibani
hapo,Sefu alijituma sana,kila kona alionekana,wazee walimsifia kwani
kijana unapofika msibani hata kama haukuhusu ukijitolea ndio wengio
watafahamu kuwa ulifika msibani lakini ukijiweka nyumanyuma na ni
kijana haipendezi kwakweli
Majira ya saa tatu kamili usiku muda ambao watu walikuwa wakipata
chakula cha usiku,kaka yake na Marehemu Walda aliyeitwa Ikunda
aliwasili akiwa na familia yake,walishuka watoto watatu kutoka katika
gari waliokuja nayo,dereva,Ikunda na mkewe pia mfanyakazi wa ndani
Kwa upande wa watoto walioshuka kwenye gari hiyo mmoja alikuwa wa
kiume na wengine wawili wa kike,kati ya hawa wawili wa kike,mmoja
alitia fola kwa mavazi aliyovaa,hayakuendana na msiba kabisa,au kwa
lugha nyingine hayakuashiria kama kweli ana huzunika juu ya msiba
huo
Jicho la Sefu lilipotua kwa msichana huyo aliyevalia nguo za kujiachia
kidogo alishtuka na kumeza fundo la mate,akajikuta akikataka
kuangusha sinia lililobeba sahani za chakula ambazo alitakiwa
azisambaze kwa watu,,,shika hili Sinia wapelekee wale wazee kule
mwisho,,,,we unaenda wapi Sefu,,?,,Sefu alichokifanya alimshikisha
kijana mwenzake sinia hilo na kuondoka bila kujibu swali aliloulizwa
akiwafuata wageni hao
Ilikuwa ni dakika chache tu aliwasili kwa wageni hao na kuanza
kuwachangamkia,,,Karibuni sana wageni,poleni sana kwa safari na kwa
msiba pia,,,aliongea hivyo huku akiwapa mikono kuanzia Ikunda mpaka
wote alioongozana nao,wapo waliowekwa kwa ajili ya kuwapokea
wageni lakini Sefu alijichomeka na kuwawai haraka
Mkono wa Sefu ulipofika kwa yule msichana aliyemlenga,walivyokuwa
wakipeana mikono Sefu alikipindisha kidole chake cha kati na
kumtekenya,,,heee!,wewe jamni,ndio nini hivyo,,,alihoji huyo msichana
ambayo aliyalegeza macho kwa Sefu kitu kilichompa Sefu ujasiri wa
kuendelea kumhika mkono wake baada ya kumsalimia
,,,unaitwa nani,,?
,,,Debora,,,
,,una jina zuri jamani,,,
,,,ahsante,na wewe unaitwa nani mdogo wangu,,?
,,,naitwa Sefu,,,
,,,anhaa,vizuri pia,,,
,,,mbona uko tofauti na wenzako,,?
,,,nizoee tu,mi sipendi kubanwa hata kidogo,ndio maana nimevaa hivi,,,
,,,huna huzuni juu ya Marehemu shangazi yako,,?
,,,kidogo tu,ni halali yake kufa,alikuwa Malaya kama nini,,,
,,,mmh,kumbe!,lakini yote kazi ya mungu,,,
,,,ndio hivyo,,,
Debora alivalia sketi fupi ya mpira,laini,iliyoonyesha mistari ya chupi
yake,mapaja yake manono meupe yalipata kuonekana laivu ambapo
vijana wengi wangedata kama angeinama kuokota kitu,mambo yote
yangeonekana,huku juu alivalia kiblauzi chepesi kilichomwonyesha
sidiria aliyoivaa ndani ambapo mpaka kitovu chake kilionekana vyema
,,,mi sipendi kujichanganya kule bwana,,,
,,,anhaa,twende tukakae huku kama hautojali,,,Sefu alimchukua Debora
ambao ndio kwa mara ya kwanza wamekutana tena kwenye
msiba,alimpeleka mahali Fulani ambapo hapakuwa mbali sana na watu
ila palikuwa na giza Fulani lililowafanya wasionekane
,,,huna demu wewe,,?,nisije nikapigwa mie,,,
,,,hapana bwana,mimi na mademu wapi na wapi,,!
,,,haya,maana uswahilini huku,,,
,,,labda uwe wewe,,,aliongea Sefu huku akimwangalia usoni Debora
ambaye naye alimkazia macho
,,,mmh,we mtoto,na udogo wote huo bado unataka wakumbwa,,?
,,,mdogo kimwili lakini sio vitu vyote,,,
,,,sa we mkubwa kitu gani,,?
,,,nikikuonyesha utanipa ninachotaka,,?
,,,we onyesha bwana,kwani ni kinini,,?
,,,niahidi,,,
,,,unaogopa nitacheka au,,?,onyesha sasa,,!,haya nakuahidi,,,kufuatia
kauli hiyo Sefu alikumbuka mbali sana,siku ya kwanza alivyomsugua
Ritha yule mfanyakazi wao,naye alikuwa hana wazo lolote kama
Debora,Sefu alishusha Suruali yake na kutoa dudu lake ambalo lilikuwa
limeshaanza kusimama,,,mungu wangu,,!,kha,,!,,,,,Itaendelea