TAFUTA HAPA

DUDU WASHA ~27

DUDU WASHA ~ 27
,,,jiweke vizuri,jifunike shuka kabisa,naeda
kufungua,,,aliongea hivyo Scola huku akiinuka
n akutaka kuelekea kwenye kitasa cha mlango
,,,sikiliza kwanza,,,Sefu alimshika mkono na
kumwambia hivyo Scola aliyemgeukia na
kumsikiliza
,,,usiseme kabisa kama unalala na mtu humu
ndani,sawa,,?.aliongea Sefu huku akiyatoa
macho yake kama amepoteza hela ya
kutumwa
,,,kwanini,na wakati wewe ni mtoto wao,,!
,,,hapana sio hivyo,hata mimi ni mwizi pia
kama wewe,,,
,,,ha!,makubwa,,mmmh,,!,haya,,
Scola aliguna kusikia hivyo kwani hakuwaza
hata kidogo kama jambo hilo
linawezekana,alienda na kufungua mlango
huku akijifanya ndio ametoka kulala
,,,vipi jamani mbpona usiku,,,alihoji Scola
kama hajui kinachoendelea
,,,aah,tumeona unapiga kelele,tukadhan
i
umevamiwa labda,,,aliongea hivyo Shamsa
huku moyoni akimchukia kwani alijua wazi
ameshafanya mapenzi na Sefu
,,,hamna niko sawa tu,msijali,huwa naotaga
ndoto mbaya sana,,,
,,,ndoto ndio mpaka jasho hilo,,?
,,,okey,hamna shida,haya usiku mwema
Scola,,,aliongea hivyo Dokta Festo
Na kumchukua mkewe kisha wakaanza
kuelekea chumbani,swali la Shamsa
halikujibiwa na Scola kwani lilikuwa kama ni
la kejeli,wakati Shamsa anaondoka na
mumewe alipogeuza shingo yake nyuma
kumwangalia Scola alimshuhudia akimzomea
kwa kumtolea ulimi huku mikono yake
akiiweka masikioni kitu kilichomfanya Shamsa
kuwa na uhakika kwamba Scola alikuwa
anafanya mapenzi na Scola na atakuwa
ameshamweleza ukweli wote juu ya
kilichofanyika kati yao,Scola alirejea chumbani
kwake na kufunga mlango wake na funguo
kabisa
Asubuhi na mapema palipokucha Festo akiwa
mezani anapata chai,Mama Sefu aliwasili
nyumbani hapo akiwa na huzuni hasa,,,
,,,ooh,Mama Sefu,karibu sana,,,
,,,ahsante baba yangu,habari za kwako,,?
,,,nzuri,karibu sana,,,alikaribishwa mama Sefu
na kuketi kwenye makochi
,,,nimekuja baba yangu nina shida,,,
,,,ndiyo mama nakusikiliza,,,
,,,mwanangu aliondoka jana saa ngapi
hapa,maana hakurudi tangu aje huku,,,
,,,ha!,ngoja kwanza,,,
Festo alimwita mkewe ambapo alikuja haraka
sebuleni hapo,macho ya SHamsa ayalip
[omwona Mama Sefu yalishtuka japo
hakumjua kama ni mama yake
Sefu,alipoulizwa Sefu aliondoka muda gani
alijibu kuwa muda aliondoka mumewe naye
aliondoka muda huo huo,ilikuwa yapata
majira ya saa moja kasoro,tena akajifanya
hajui lolote
,,,kwani imekuwaje mama,,?
,,,hajarudi mwanangu tangu aje huku,sijui
atakuwa ameenda wapi alivyotoka hapa,,
,,,mmh,pole sana,labda atakuwa kwa
wenzake,atarudi tu,,,
Wakati anamalizia kujibu hivyo,alijishtu
kia
alipomwona Scola ndio anawasili sebuleni
hapo,kwa makusudi Scola alipofika sebuleni
hapo alimchomoa Shamsa na kumvuta
pembeni
,,,nimwambie mmeo kuwa Sefu yuko ndani
hapa na umeshafanya naye mapenzi,,,?
,,,hapana,usifanye hivyo,tutaongea mimi na
wewe tutayamaliza,,,
,,,tutayamaliza vipi,,?
,,,tafadhari naomba usiniharibie ndoa
yangu,usiongee chochote ulichokiona,,,
,,,kwanza kwanini umemsaliti mumeo,,?,kuzaa
huzai,bado unatoka nje ya ndoa,,!
,,,mungu wangu,,!,kwani nimependa kuwa
hivi,,maongezi yao yalikatishwa na sauti ya
Festo iliyokuwa ikiwaaga ambapo aliondoka
na mama Sefu
Huku nyuma ndio likawa balaa hasa,Scola
alipohakikisha mumewe ameshaondoka ndio
akalianzisha ambapo alianza kwa sauti ya
upole,,,alimwita Scola na kuketi naye
sebuleni,lakini kabla hawajaanza kuongea
lolote,bwana mkubwa Sefu ndio aliwasili
Sebuleni huku akipiga miayo,alijiamini
kwasababu wote alishawachungulia
,,,Shamsa mke wangu njaa inauma,,,aliongea
hivyo kwa kujiamini mbele ya Scola
,,,umenioa mpak unite hivyo,,!,haya nenda pale
mezani,,Sefu alielekea Mezani huku macho ya
Scola na Shamsa yakimsindikiza mpaka
alipoketi na kuanza kunywa chai,Scola na
Shamsa wakajikuta wakipotezea bila kuongea
chochote
Sefu alipomaliza kupata kifungua
kinywa,alikuja na kuketi katikati yao,lilikuwa
ni jambo la kushangaza mtoto mdogo
kuonekana kama anawatawala wote wawili
anavyotaka,,,
,,,sikiliza Shamsa,mimi ni mdogo sikatai lakini
kiukweli nimevutiwa sana na wewe,na hicho
ndicho kilichonifanya nikae hapa katika yenu
na kuongea ukweli,jua umekaa na mbaya
wako na sio kama alivyokwambia mumeo eti
anamuuguza mgonjwa wake
,,,mbaya wangu kivipi,,?
,,,huyu ni mpango kando wa mumeo kama
ilivyo wewe kwangu,,,
,,,unasema,,?,na anathubutu kuja hapa
nyumbani kabisa,,?,wewe umejuaje,,?
,,,nimemsikia jana kila kitu akiwa anaongea na
rafiki yake,yeye alijua mimi sipo ndani,ndio
maana akajiachia kuongea siri zake,hata
nilipojitokea akanilazimisha mpaka nikakubali
kufanya naye,na nilikubali ili nikulinde
wewe,kwani Alisema nisipofanya naye
atamwambia Dokta,,,
,,,kabla hata hajamalizia kuongea Sefu
Shamsa aliinuka na kumkunja Scola aliyekuwa
mdogo kama kidonge cha Pilitoni,lakini bado
Sefu aliendelea kumtetea na kumwambia
Shamsa ni bora amfukuze kuliko kumpiga na
kumuumiza,kilikuwa ni kitendo cha dakika
sifuri tu,Scola na ujanja wake wote alliishiwa
mbinu,akaondoka na mfuko wake wa rambo
aliokuja nao
Huku nyuma mambo ya kizenji yaliendelea
kama kawa,tena nyumba nzima walibaki
wawili tu,Sefu na Shamsa,,,Shamsa alienda
kufunga mlango wa sebuleni hapo na funguo
kabisa kisha akaondoka nayo,,,nikukute
kwenye chumba kile cha upande wa
huku,,,aliongea hivyo Shamsa akimpa
maelekezo Sefu aliyekuwa tayari
ameshasimamisha dudu lake,,,,
Sefu alipofika chumbani humo alipoelekezwa,
alijilaza chali na kumsubiri Shamsa,dakika
ilikuwa nyingi kwake,,,kitasa cha mlango
kilipofunguliwa tu,macho ya Sefu yakawa
makini kuangalia mlangoni
hapo,,,,whaaooo,,mara hii umeenda tanga na
kurudi,,,aliongea hivyo Sefu baada ya
kumwona Shamsa akiwa ndani ya vazi la
mtandao ambao alioloanisha kwenye maji
kabla ya kuuvaa,kila kitu cha Shamsa kilikuwa
kinaonekana kwani mtandao ulikuwa
unaangaza mpaka ndani,kweli mtoto huyu
aliumbwa jamani,ukimwangalia tu lazima
udindishe kama mwanaume rijali kweli,huku
juu alivalia sidiria Fulani iliyokuwa ya aina
yake,kwani iliziba sehemu ndogo ya Chuchu
huku sehemu zingine ikiwa ni kamba tu ndio
zimepita,kitovu chake kilichoingia ndani
kidogo kilimfanya Sefu kujaa mate
mdomoni,umbo sasa ambalo lilikuwa ndani ya
mtandao,hipsi zilijitokeza na ukubwa wa
makalio yake ulionekana laivu,mapaja yake
yaliyonona yalifanya mtandao kuonekana
umembana sana,basi kwa makusudi
kwasababu alijua ana umbo zuri la kumteka
mwanaume yeyote,alijigeuza huku akijibinu
makalio yake n akuufanya mtandao uanguke
chini,,,,,,Itaendelea