TAFUTA HAPA

DUDU WASHA ~ 23

DUDU WASHA 23
Sefuuu,,tafadhari fungua mlango,!,safari hii
alipoisikia Sauti hiyo ndio akapata uhakika
kabisa kwamba ni Shani ndiye anayebisha
hodi,,,ooh!,mungu wangu,nitafanyaje
hapa,,alijiuliza Sefu ambapo akimwangalia
yule dada aliyekuwa kitandani,alikuwa
akicheka bila kutoa sauti,,,njoo hapa mtoto
mzuri,mambo kama haya ni madogo
sana,,lala kitandani hapo kwenye
kona,,,alimwambia hivyo Sefu ambapo hakuwa
na ujanja zaidi ya kumfuata alichokisema
dada huyo
Basi dada huyo alichukua simu ya Sefu na
kuweka muungurumo(vibration),kisha akaitupa
kitandani,akasubiri kwa muda wa kama dakika
moja kisha akenda na kuufungua mlango,ni
kweli alikuwa Shani ambaye alianza kuingiwa
na wasiwasi
,,,una shida gani,mbona unabisha hodi kwa
nguvu,halafu unaita Sefu,Sefu,vipi,
,?,aliohoji
dada huyo huku akiwa na uso mkavu hasa
,,,naomba nisamehe,nilipiga simu yake
nikasikia inaita huku ndio maana niapiga
hodi,,,
,,,ha!,kuwa makini makini binti,yaani kupiga
simu kuita chumba hiki ndio kukufanye uwe
jasiri wa kupiga hodi na kuitoa majina
yasieleweka,,?
,,,basi samahani dada yangu,samahani sana,,,
,,,una bahati nimetoka mimi,laiti kama
angetoka mume wangu,angekupiga hata
makofi,unaharibu starehe za watu bwana,,,
Alimaliza kuongea hivyo dada huyo na
kufunga mlango kwa kubamiza,baada ya hapo
waliendelea na kamchezo mpaka dada huyo
aliporidhika,,,
,,,utakuja tena,,?
,,,ndiyo nikipat nafasi,,,
,,,basi kila ukija utakuta nimekuandalia zawadi
nzuri kweli,,,
,,,haya,niruhusu niende,,,
,,,sawa,natamani hata nikuite mume
wangu,mtoto lakini una mambo hasa,,
,,,usijali,nitakuja siku nyingine,,
,,,basi chukua hii pesa itakusaidia kwa
matumizi huko mbele,na namba yangu ya
simu nimeisevu tayari na yako ninayo,,
Basi Sefu alikabidhiwa shilingi elfu ishirini na
dada huyo kisha akaruhusiwa
aondoke,yalikuwa ni majira ya saa kumi na
mbili jioni,kwa mbali giza lilishaanza
kutanda,ndio Sefu taratibu akawa anajirudisha
nyumbani
Kichwani mwake alijua fika hana cha
kusingizia kwa mama yake,hivyo alipokaribia
maeneo ya nyumbani kwao,alijiangusha kwa
makusudi ili aonekane amezimia,akaa chini
kwa muda wa dakika tano hakuna
aliyemwona,,,mh,hivi watakuja kweli kuniinua
hapa,,?,alipojiuliza hivyo akanyanyua macho
yake na kutazama maeneo ya nyumbani kwao
akamwona Rita akiwa nje amekaa na dada
zake,,,basi akanyuka n akuanza kutembea
tena,,,
,,,mama,,,Sefuuuuuuuuu,,,,wali
nyanyuka wote
Rita na dada zake kwenda kumkimbilia Sefu
ambaye aliwaona wanakuja,alijia
ngusha kw
amakusudi na kujilaza chini,,,mbebe
huko,,,jamani Sefu kapatwa na nini,,?,Sefu
yuko wapi,,?,jamani mwanangu imekuwaje
tena,,?,,maneno hayo yote aliyasikia Sefu
ambapo alijikausha kama amepoteza fahamu
kweli
Mama Sefu akishirikiana na watoto wake wa
kike ambapo mpaka baba Sefu pia
alihangaika baada ya kumwona mwanye
amepatikana katika mazingira
hayo,,,walimmwagia maji ya baridi kichwani
mara tatu ndio Sefu akazinduka,,,kwani niko
wapi,,?,niacheni mimi,niacheni mimiii,msiniue
tafadhariiii,,,aliigiza kama mtu aliyekamatwa
na majambazi akitaka kuuawa,kiukweli wote
ndani humo waliamini kwamba Sefu alikuwa
mikononi mwa watu wabaya,,,mama Sefu
alisikitika sana,pia mumewe,hata dada zake
walimwonea huruma mdogo wao
Alikitumikia kipindi cha likizo chote akiwa
nyumbani hapo,ambapo mazingira yalikuwa
magumu kwa Sefu kuendelea kumbonyeza
kizenji Rita aliykuwa akimuwinda Sefu kila
wakati,,,basi tafuta hata chumba huko
mtaani,ujue nimekumisi kweli Sefu,tangu
uondoke sijatembea na mwanaume yeyote
hivyo nina hamu sana ya Dudu lako,,,aliongea
hivyo Rita siku moja akiwa amekaa na
Sefu,,,jibu la Sefu lilikuwa ni la kumpa moyo tu
Rita,hakuwa na mpango naye kabisa
,,mwanangu,mimi huwa najali sana afya
yako,hivyo kila muda napenda uende ukapime
kila kitu Hospitarini japo kwa sasa utaratibu
umebadilika kidogo,hautakwenda kupima,bali
nitakuelekeza nyumbani kwa daktari ambaye
utakwenda kuonana naye kwa ushauri
zaidi,kwavile umebakiza siku ya kesho
tu,naomba leo jioni uende,,,aliongea hivyo
mama Sefu ambapo Sefu alikubaliana na
suala hilo,basi Sefu alielekezwa anakokaa
huyo daktari kisha ilipofika majira ya jioni
alielekea huko
Alipowasili kwa daktari,wala haikuwa kazi
kumtambua,,ooh,Sefu si ndiyo,,?,bila shaka
mimi ndiye,,,karibu sana,nyumbani na shuleni
pia,,walijibizana na daktari huyo
wakisalimiana kisha Sefu akaingiza ndani na
kuketi sebuleni,,akiwa hapo Sebuleni alipita
mwanamke mmoja aliyevalia blauzi na khanga
chini iliyoonyesha mistari ya chupi
yake,alikuwa na makalio makubwa
yaliyojitenga vizuri na kiuno chake
chembamba,Chuchu ndio kwanza kama
zilikuwa zimetoka usingizini,yaani
nzimeamka,vijana wengi hupenda kuziita saa
sita,asili ya mwili wake ilionekana dhahiri ni
unene,alijaaliwa umbo la mahaba lilimaliza
muda mwingi wa Sefu kumwangalia na
kumthaminisha,,,,
,,,hey baby,,,
,,,hello,darling,,
,,,tuna mgeni Sefu,niko naye kwenye chumba
cha ushauri kidogo,,,
,,,lakini leo sio siku ya kazi mume
wangu,tulipanga tufurahie wote kwa
pamoja,umesahau leo ni siku gani kwangu,,?
,,,najua mpenzi wangu ni siku yako ya
kuzaliwa,lakini nina mahusiano mazuri na
mama yake huyu mtoto,na ameniambia kuna
vitabia anahisi huyu mtoto anavyo,hivyo
anahitaji kumsaidia kupitia wataalamu kama
sisi,nisipomsaidia elimu yetu itatumika wapi
baby,tafadhari mpenzi wangu,naomba,,,
,,,okey,haya nenda,,,
Yalikuwa ni Maongezi kati ya Daktari huyo na
mkewe,ambapo mkewe alimaliza maongezi
kwa hasira na kuelekea chumbani kwake,,,Sefu
aliitwa kwenye chumba cha kupewa ushauri
ambapo Daktari huyu alitoa huduma hiyo kwa
binafsi nyumbani kwake kwa kulipwa fedha,hii
ilikuwa haihusiani kabisa na Hospitari japo
alikuwa ni Daktari pia,basi hata kabla daktari
huyo hajaanza kuongea na Sefu alipigiwa
Simu haraka anahitajika Hospitarini,kwavile
ilikuwa ni muhimu,akajikuta anaondoka kwa
ugomvi nyumbani kwake kwasababu mkewe
hakupenda aondoke na hata alipofika huko
Hospitari alimtumia meseji mke wake na
kumwambia hawezi kurudi mpaka asubuhi
kwasababu kuna mgonjwa amezidiwa
anahitaji kumpatia huduma
Huku nyuma alibaki Sefu na mke wa Daktari
aliyekuwa amekasirika haswa,Sefu
alimwangalia mwanamke huyo kwa jinsi
alivyoumbika,hakutamani hata kutoa macho
yake kwenye mwili wa mwanamke
huyo,,,,Happy Birthday,,,,Sefu alijipendekeza
kwa kumwambia hivyo mwanamke huyo
aliyemwangalia Sefu kwa umakini huku
akitabasamu kwa mbali
,,,ahsante,mmh,unaitwa nani,,?,alianzi
sha
maongezi mwanamke huyo
,,,naitwa Sefu,wewe je,,?
,,,mimi naitwa Shamsa,,,
,,,nafurahi kukufahamu,lakini mbona kama
umeshangaa nilivyokutakia siku njema ya
kuzaliwa,,,
,,,aah,sikutegemea kama ungesema,halafu
ndio wewe wa kwanza kuniambia hivyo kitu
ambacho hata mume wangu hakuniambia,,,
,,,basi usijali,naweza kukuomba kitu,,?,japo
najua ni mdogo sana kwako,,,
,,,sema tu,,,
,,,kwenye siku hii nzuri iliyobarikiwa
kwako,naomba ufungulie mziki kisha tucheze
wote,,,
,,,mmh,we cheza tu mimi hata sijui
mwenzako,,,aliongea hivyo Shamsa na kwenda
kufungulia mziki,hata alivyoinama wakati
anafungulia mziki,makalio yalivyojibinua
yalimsisimua Sefu na kuhisi kama ndio
anamwingiza Dudu,,,
,,,njoo tucheze bwana,,,aliongea Sefu ambapo
Shamsa alikuwa amesimama akimshangaa
Sefu maneno yake,,,mmh,mtoto mdogo kama
huyu ananichangamkia hivi,kwanini mimi
nisijilazimishe tu hata sijui kucheza,,!,alijiuliza
kichwani mwake Shamsa kisha akakubali
kucheza mziki na Sefu aliyejiona
ameshashinda kumbonyeza kizenji dada huyo
aliyevalia khanga iliyokuwa inaonyesha
mistari ya chupi yake
Inaendelea