TAFUTA HAPA

SIMULIZI:DUDU LA HOUSEBOY - sehemu 01

 '''Taraaaaaatibu ahaaaa shiiiiiii mme Wangu Dudu ilo umelitoa wapi mpaka najihisi niko ....."" 
Mwanamke aliendelea kulalamika kwa utamu aliokuwa akipewa na Houseboy wake akidhani ni mme wake.....


•••••••••
Kipindi anapewa raha mme wake Bwana HOSEA BUCHWARD alikuwa kazin akifanya shughuli zake ofisi lakini Mungu saidia boss wake alimpigia simu na kuitaji fail ambalo lilokuwa na nyaraka muhimu,,...
lakini kwa bahati mbaya au nzuri fail lile lilikuwa nyumbani kwake hivyo ilimbidi arudi Nyumbani ili akachukue faili kwamaana boss wake alilihitaji......???? %%Alifika ndani na kuweza kukuta mtoto wake akilia sebuleni na hakuweza kuona mtu sebuleni alihita kijana ambaye alikuwa ni houseboy RICHARD,RICHARD,RICHARD..
Ikawa kimya akamua kuita mke wake SOPH,SOPH naye akawa kimya..... Na ndipo alipombeba mtoto na kutaka kuingia chumbani kwake?,.... ""Alishituka sana kumuona mke wake Akifanya mapenzi na house boy,.....
kitendo kile kilimuumiza sana lakini kabla awajamuona aliamua kuondoka bila ya kuonwa na mtu..... Alienda mpaka bar alikunywa pombe bwana BUCHWARD ilimradi hasau alichokiona lakini Ilishindikana yalipita masaaa 10...,, Ikawa ni saa tano za usiku ikambidi arudi Nyumbani....
Aliporudi nyumbani mke wake alimshangaaa sana kwamaana mme wake Alikuwa sio mnywaji wa pombe kabsaa alimuandalia maji lakin bwana BUCHWARD Akutaka kuoga wala kula alipita mpaka kitandani na kulala bila hata ya kuvua viatu...
Mke wake soph alishangaa kumuona mme wake alivyokuwa katika hali ile Ilimbidi nae Alale??$$


usikose mwendelezo huu wa ##DUDU LA HOUSEBOY#