James alikuwa ndo kwanza amemaliza elimu yake ya kidato cha  sita, akiwa anangojea matokeo akaamua kutoka kwao kijijini na kutembelea  mjini ili angalau aone dunia invyokwenda, pia aliamini mjini kuna fursa  nyingi ambazo hazitamuacha akae bure kama ambavyo amekaa kijijini.  Mjini alipokelewa vizuri na kaka yake (mtoto wa baba yake mkubwa),  ambaye alikuwa ni mwalimu katika shule moja ya sekondari pale mjini.  Kaka yeke huyu likuwa na mke mrembo sana na mtoto mmoja wa takribani  miaka 12.
?sasa wacha nielekee kibaruani, nikirudi nitakutembeza uune mji mdogo  wangu? Paul, kaka yake James alimuaga mdogo wake akaenda kazini na  kumuacha James akibaki na shemeji yake tu maana hata Peter, mtoto wa  Paul, alikuwa amekwenda shule tayari. Basi James akarudi chumbani na  kuendelea kusoma kitabu chake ?think big? ambacho alikuwa akikirudia  mara ya tatu sasa kwani hakikuisha utamu, pia hakuwa na kingine cha  kusoma. ?James… James? ilisikika mlangoni sauti ambayo bila shaka  ilikuwa ya Monica, shemeji yake James akiita huku akigonga mlango wa  chumba alichokuwemo James. ?naam?, James akaitika huku akiacha haraka  kufanya ambacho alikuwa akikifanya na kutii wito ule. ?naomba unisaidie  kuingiza mkaa ndani? alielezea shemeji mtu mara baada ya James kufungua  mlago, na James hakuwa na kipingamizi, akaelekea nje ambapo kulikuwa na  gunia la mkaa ambalo inaonekana ndo lilikuwa limenunuliwa tu. ?sasa  shemeji utaliweza kweli hili?? James aliuliza baada ya kuona kuwa gunia  lile lilikuwa kubwa sana kwa shemeji yake kuachiwa upande mmoja wa  kubeba pekeyake.. ?nitajitahidi, tutalifikisha tu? alijibu Monica na  kazi ya kubeba ikaanza. Ilikuwa nikazi ngumu sana kwa Monica, aliweza  kunyanyua kidogo tu na kila baada ya hatua tatu akalitua chini na  kupumzika, wakati wakiingia ndani khanga ya Monicaidondoka, ndani  alikuwa na kagauni cha kulalia ambacho kalikuwa kafupi sana,juu ya  magoti, lakini Monica akapuuza kuikota Khanga ile na kuendelea na kazi  waliyokuwa wakiifanya, kwa macho ya wizi James alikuwa akiyaangalia  maumbile ya Monica ambayo kwakweli yalikuwa na nguvu ya kumtikisa  mwanaume yeyote aliye rijali, kagauni kali kaliweza kuonesha ndani na  James aliweza kuiona vizuri chupi nyeupe ambayo Monica aliiva siku hiyo,  japo alijifanya kama haangalii. Wakaufikisha mkaa ule ambapo ulipaswa  kuwekwa kisha James akaanza safari ya kurudi chumbani. ?unakaa sana  ndani ya wewe mume wangu, mwisho uje ukute mke kaibiwa huku? alitania  Monica na James akacheka na kujibu ?sasa kama sina cha kufanya si bora  nijifiche ndani ili mke asijue kama mumewe hana kazi!!?, Monica akacheka  kisha akamjibu’ ?njoo ukae hapa uangalie movie bwana?, akamuwashia TV  na kumuacha achague CD ambayo angependa kuiangalia, akamuweke kisha  akaendelea na mambo yake mengine. Baada ya kama nusu saa Monica  akamuijia James akiwa amependeza sana na kumuaga ?sasa shem mimi naenda  Salon, kuwa na uhuru hapa ni kwako? alisema Monic,?kubadilisha hiyo  ikiisha si unajua?? akauliza swali huku akiichukua Remote kutaka  kumuonesha James namna ya kubadili CD kwenye deki ?siwezi kushindwa,  uzuri wa vitu vya mzungu vinajieleza vyenyewe? James alijibu huku  akipokea ile Remote na Monica akaondoka kimuacha James akitazama kwa  uchu maumbile yake huko nyuma ambako kulikuwa na ?chura? ya maana ambayo  ilikaa vizuri ndani ya ile suruali ya jeans ya kubana ambayo alikuwa  amevaa Monica. James alijikuta kuanza kumtamani Monica ingawa  alijitahidi kuzipuuza fikra hizo maana alikuwa akimuheshimu mno Paul  ambaye alikuwa na upendo wa dhati kwake ingawa hawakuwa ndugu wa tumbo  moja. Baada ya Monica kuondoka, James akaikumbuka CD yake ya ngono  ambayo hakuwa hata amewahi kuiangalia toka ainunue akiwa kidato cha  tano, maana kwao kijijini hakukuwa hata na umeme, hivyo alipokuja mjini  akaibeba akitegemea kuiangalia kama atapata nafasi hiyo, sasa aliona  kama ameipata nafasi tayari, hivyo akaenda chumbania na kuichukua ile CD  na akafanikiwa kuiingiza ndani ya deki kisha akaanza kuiangalia kwa  sauti ya chini sana. Baada ya dakika kama 10 tu toka aanze kuangalia  umeme ukakatika, hapo ndipo James alipopata homa akijaibu kutumia kila  njia kutaka kuitoa CD ile kwenye deki lakini jitiha zake ziligonga  ukuta, ikambidi akae akisali umeme urudi haraka ili aweze kuitoa CD ile  kabla wenyeji wake hawajarudi. Mpaka majira ya saa 8 mchana umeme  ulikuwa bado haujarudi ambapo Paul alirudi kutoka kazini na kumtaka  James watoke, James hakuwa na namna zaidi ya kutoka na kaka yake huku  akiwa hajui nini kitatokea huko nyuma, safari hii dua yake ikabadilika  kutoka kuomba umeme urudi na kuwa umeme usirudi.
Safari ya James na Paul ikawachukua mpaka kwenye kituo kimoja ambapo  walikuta wanafunzi wengi wakifundishwa masomo mbalimbali. ?hii ni  biashara yangu, hapa tunafundisha masomo yote kwa ngazi ya sekondari?  alielezea Paul huku James akiitikia tu, akili yake ilikuwa imevurugwa na  majanga aliyoyaacha nyumbani. ?wewe bwana si umesoma PCM, kuna uhaba wa  walimu wa Physics hapa kama unaweza nikupe nafasi uwe unafundisha  vijana wa o’level? Paul alishauri na James akakubali haraka maana  alikuwa anapenda sana kazi ya ufundishaji na aliamini atafanya vizuri na  kujitengenezea kipato. ?sawa, kama uko tayari tumebakiza hatua moja,  inakubidi kupewa darasa tuone uwezo wako kabla ya kuamua kukupa kazi?  alielezea Paul na James akakubali, kisha Paul akamchukua James mpaka  kwenye ofisi ndogo ambapo walimkuta kijana wa rika moja tu na  James,?vipi sir Mdharuba?? alisalimia Paul, ?poa brother, shikamoo?  akajibu kijana yule na kisha kupewa maelezo kuhusu James akimtaka  kumtafutia muda ambao atapata darasa kwaajili ya majaribio ?tuna kipindi  cha Physics fom 3 leo saa 10 na nusu, nadhani angekitumia hiki?  alielezea sir Mdhauba ambaye alikuwa ndio msimamizi wa shughuli za pale  na wote wakakubaliana kukitumia kipindi hicho kwaajili ya James  kujaribiwa uwezo wake, wakati huu ilikuwa ni kama saa 9 na robo, hivyo  James akatka kujua atafundisha nini na akautumia muda huo kujiandaa. Saa  10 na nusu ilipofika James akaingia darasani na ?kupiga pindi? pindi  huku Paul na Mdharuba wakimuangalia, baada ya kipindi wote wakaukubali  uwezo wake na kumpa kazi ?tunalipa elefu 4 kwa kipindi, kwahiyo  itategemea unapta vipindi vingapi kwa siku, sawa?? alielezea Paul na  James akakubali bila kipingamizi, kisha wakaondoka. Safari yao ikaenda  kukomea tena kwenye bar ambapo Paul aliagiza pombe akimtaka na James  kuagiza lakini James alikataa kwani hakuwa mnywaji wa vilevi.
Baada ya Paul kulewa aakaanza kuonesha tabia za ajabu ambazo James  hakuwahi kudhani kama kaka yake huyo anazo, akaanza kushika makalio ya  wahudumu wa pale bar, na kuanza kupigia simu wanawake wake wa nje ambao  alikuwanao,mwisho mmoja wao akaja na akaondokanaye huku akimchukulia  James bodaboda na kumtaka atangulie nyumbani, akabaki nikijiuliza Paul  anakosa nini kwa Monica mpaka anafanya mambo ya ajabu namna ile, yeye  alimuona Monica kama mwanamke ambaye angekuwa wake angetulia mpaka  mwisho, kwanini Paul anmafanyia hivi?? aliendelea kujiuliza.
Alipofika nyumbani James alikuta taa inawaka na hofu ikanitawala,  maana iliashiia umeme kurudi, akaikaingia ndani na kumkuta shemeji yake  akiwa amekaa sebuleni akiwasubiri.. ?mwenzio umemuacha wapi?? aliuza  Monica, ?ameniambia kuna jambo anafuatilia bado mjini mimi nitangulie?  alidanganya James, Monica akaonekana kutoamini maelezo yale ila akapuuza  na kumkaibisha shemeji yake chakula huku yeye akirudi kukaa pale  sebuleni na kuwasha TV, James akainuka kuelekea kwenye chakula huku  akimuona shemeji yake akichukua remote ya deki, hapo akaona nguvu za  miguu zikimuisha, ila akajikaza na kuendelea na safari ya kuelekea kula.
Shem hii CD ni yako??? swali kutoka kwa Monica likapenya masikioni  mwa James wakati akiendelea kula, moyo ukampasuka,kashindwa hata kutoa  jibu.
****************************************
 ……………………………………Usikose sehemu ya pili