JAMANI MIE UKAHABA SASA BASI" PART 6
INAENDELEA HAPA:Kipindi Mr. Brown anampiga mke wake Mrs. Brown  ghafla wakatokea wazazi wa Mr. Brown ambao ni wakwe wa Mrs. Brown  walikwenda kuwatembelea wakakuta kuna vurugu kwa watoto wao  walichokifanya wazazi wale waliamua ugomvi na kuwaweka chini na  kuwasikiliza kwa umakini watoto wao chanzo cha wao kugombana ni nini?  Wakaanza kuelezea ilivyokua. Wazazi wa Mr. Brown wakatumia busara na  kuwasihi wasigombane na wakawapatanisha watoto wao pale pale Mr na Mrs.  Brown wakamaliza tofauti zao wakawa na amani wakajumuika pamoja na  wazazi wao mpaka ilipofika jioni wale wazazi wakaondoka huku nyuma Mr na  Mrs. Brown walikaa na kujadili njia nyingine ya kumsaidia binti yao  Jenifer aweze kuendelea na masomo shule wakaona ni bora wamtafutie tu  binti yao shule nyingine ili aweze kuendelea na masomo yake, baada ya  siku kadhaa Mr. Brown alijitahidi kuhangaikia shule ili aweze kumpeleka  binti yake JENIFER aweze kuendelea na masomo akiwa na dhamira ile ile  aliyokua nayo tangu awali kuwa binti yao JENIFER wakimsomesha
baadae atakuja kuwasaidia katika maisha yao, mungu  alisaidia Mr. Brown akajitahidi akafanikiwa kumpatia nafasi binti yake  JENIFER katika shule moja iitwayo KILIMANJARO SECONDARY SCHOOL na binti  yao akajiunga na shule hiyo akaendelea na masomo yake. JENIFER alipokua  shuleni hapo tabia yake chafu haikubadilika aliendelea na tabia yake ile  ile ya kua na marafiki ambao tabia zao zilikua ni chafu na ikafikia  hatua JENIFER akawa anamahusiano ya kimapenzi na waalimu wa shuleni hapo  tena kwa kuwachanganya alikua anatembea na MWALIMU MKUU (head master),  MWALIMU MKUU MSAIDIZI (Second master) na MWALIMU WA TAALUMA (Academic  master) tena bila ya walimu hao kutofahamu kama wanachangia penzi moja  kwa binti huyo, Sasa siku moja Mwalimu mkuu wa Shule hiyo ambae ni  mpenzi wake JENIFER alimuita JENIFER ofisini kwake na kuanza kumshika  shika ofisini hatimae wakafanya nae tendo chafu la ngono ndani ya ofisi  na hawakufunga mlango wa ofisi hiyo, ghafla Mwalimu mkuu msaidizi
akafungua ule mlango wa ofisi ya mwalimu mkuu,  alikua anampelekea ma faili mwalimu mkuu alipovamia akamkuta mwalimu  mkuu na JENIFER wakiwa katika tendo, mwalimu mkuu msaidizi alishtuka  sana kuona vile hakuongea kitu alitoka nje haraka.